Author: Charles Adika
-
-
MTU MMOJA AULIWA CHESOGON KUFUATIA KISA CHA UVAMIZI
Na Benson AswaniMtu mmoja ameuliwa jana jioni kwa kupigwa risasi eneo la sirmaj chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet na wavamizi wanaoaminika […]
-
MAAFISA WA KUKUSANYA USHURU WALAUMIWA KWA KUTUMIA NGUVU MAKUTANO.
Na Benson Aswani Maafisa wa kukusanya ushuru mjini makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelaumiwa vikali kutokana na jinsi wanavyotekeleza majukumu yao ya kukusanya ushuru hasa kutoka kwa wahudumu […]
-
KUONDOLEWA MARUFUKU YA KUTOKUWA NJE USIKU KWAENDELEA KUPONGEZWA.
Na Benson AswaniHatua ya rais Uhuru Kenyatta kuondoa amri ya kutokuwa nje kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri ili kukabili msambao wa virusi vya corona imepokelewa vyema na […]
-
ZAIDI YA WATU ALFU 14,000 WACHANJWA DHIDI YA CORONA TRANS NZOIA.
Na Benson AswaniWaziri wa afya Kaunti ya Trans Nzoia Clare Wanyama amepongeza hatua zilizopigwa na wahudumu wa afya katika kukabiliana na janga la Covid19 nchini.Akihutubu baada ya kuzuru kituo cha […]
-
-
-
WAZAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUWAPELEKEA WANAO SHULE ZA CHEKECHEA.
Na Benson AswaniWazazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanao ambao wamefika umri wa kwenda shule wanahudhuria masomo katika shule za chekechea na kutokaa nao nyumbani.Ni wito […]
-
MPANGO WA UJI KWA SHULE ZA CHEKECHEA WAKOSOLEWA NA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI.
Na Benson AswaniSiku moja baada ya gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo kuzindua mpango wa kuwapa uji wanafunzi wa shule za chekechea, baadhi ya viongozi katika kaunti […]
Top News









