Author: Charles Adika
-
-
-
-
WENYEJI WA KACHELIBA WAHIMIZWA KUJITOKEZA KUSAJILI KAMA WAPIGA KURA
Mwenyekiti wa Chama cha ODM katika Eneo bunge la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi Samuel Lourien amewarai wakazi wa Kaunti ya Pokot Magharibi kufika katika ofisi za chama hicho […]
-
WENYEJI WANAOISHI MIPAKANI WAHIMIZWA KULETA MAENDELEO ENEO LA SUGUTA BAADA YA AMANI KUREJEA
Naibu kamishina wa Turkana mashariki katika kaunti ya Turkana Said shaaban ametoa wito kwa serikali za kaunti hii ya Pokot magharibi, Turkana na Baringo kuweka mikakati ya kuleta miradi ya […]
-
-
-
-
HISIA ZA IBULIWA KUHUSIANA NA CHAMA KIPYA POKOT
Uanzilishi wa Chama cha Kenya Union Party KUP katika Kaunti hii ya Pokot Magharibi umeibua hisia mbalimbali miongoni mwa wakazi wa kaunti hii.Kulingana na Mzee Gabriel Lonyiko mkazi wa Kacheliba, […]
-
MWANAFUNZI WA CHUO KIKUU KAKAMEGA AUWAWA.
Maafisa wa Polisi Wameanzisha Uchunguzi kuhusiana Mauaji ya Mwanafunzi wa mwaka wa Nne anayesomea taaluma ya uhandisi katika Chuo kikuu cha Masinde Muliro kaunti ya kakamega.Wakaazi wakiongozwa na Cornelius Chemwali […]
Top News








