Author: Charles Adika
-
‘RAILA HATAMBI POKOT MAGHARIBI’, WASEMA WANDANI WA RUTO.
Na Benson AswaniWandani wa naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamepuuzilia mbali miito ya baadhi ya viongozi kaunti hii kwa wakazi kumuunga mkono kinara wa chama […]
-
WAZAZI BARINGO WATAKIWA KUKUMBATIA ELIMU YA MTOTO MSICHANA.
Wazazi katika kaunti ya Baringo wameshauriwa kukumbatia elimu ya mtoto msichana kwa kuhakikisha kwamba wanao wa kike wanaenda shuleni sawa na watoto wavulana.Akiongea katika eneo la Chemolingot katika eneo bunge […]
-
MADAI YA UFISADI YAIBULIWA KATIKA USAJILI WA MAKURUTU WA KDF POKOT MAGHARIBI.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia zoezi la usajili wa makurutu wa KDF ambalo limekuwa likiendelezwa katika kaunti hii.Akizungumza baada ya uzinduzi wa kituo […]
-
MAPUUZA YATAJWA KUCHANGIA VISA VINGI VYA DHULUMA ZA JINSIA POKOT MAGHARIBI.
Visa vingi vya dhuluma za jinsia vinavyoendelea miongoni mwa jamii katika kaunti hii ya Pokot magharibi vimekosa kuripotiwa kutokana na mapuuza baadhi ya waathiriwa kuhofia usalama wao iwapo wataripoti visa […]
-
VIJANA WAONYWA DHIDI YA KUZUA VURUGU KATIKA MIKUTANO YA KISIASA.
Vijana katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutokubali kutumika na wanasiasa kuzua vurugu katika mikutano ya kisiasa ambayo inaendelezwa na viongozi mbali mbali wa siasa nchini kuelekea uchaguzi mkuu […]
-
VIONGOZI WALALAMIKIA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Viongozi katika kaunti ya Elgeyo marakwet sasa wanaitaka serikali kuu kupitia idara ya usalama kuwapa uhamisho maafisa wa usalama wanaohudumu kwenye eneo la bonde la kerio.Wakiongozwa na mbunge wa Marakwet […]
Top News








