Author: Charles Adika
-
VIONGOZI ENEOBUNGE LA KACHELIBA WAMEWAHIMIZA WAKAAZI KUKUMBATIA AMANI MSIMU HUU WA SIASA.
Na Benson AswaniWakazi wa eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuishi kwa amani na utangamano na kutokubali kugawanywa kwa misingi ya kisiasa hasa wakati huu ambapo […]
-
WAKAAZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUZINGATIA USAWA MIONGONI MWA WATOTO WA KIKE NA KIUME
Na Benson AswaniJamii katika kaunti hii ya Pokot magharibi imetakiwa kuzingatia usawa miongoni mwa watoto wa kiume na wale wa kike.Akizungumza katika hafla ya kuhamasisha umma dhidi ya dhuluma za […]
-
UONGOZI WA GAVANA LONYANGAPUO WAENDELEA KUKOSOLEWA.
Viongozi mbali mbali wa kisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kukosoa uongozi wa gavana John Lonyangapuo kwa kile wamedai amefeli kutekeleza maswala yenye umuhimu mkubwa kwa wakazi wa […]
-
WADAU WA ELIMU WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUFANIKISHA SEKTA YA ELIMU KIPKOMO.
Wadau katika sekta ya elimu eneo la Kipkomo kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kushirikiana katika kuhakikisha kuwa viwango vya elimu eneo hilo vinaimarika zaidi.Akizungumza baada ya kupokea fenicha za […]
Top News








