Author: Charles Adika
-
SERKALI YAOMBWA KUINGILIA KATI NA KUTATUA MZOZO WA ARDHI UNAOSHUHUDIWA KANYARKWAT
Na Benson AswaniFamilia moja eneo la kanyarkwat mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na Trans nzoia wanalilia haki baada ya kufurushwa kwa boma lao na maafisa wa polisi wanaoaminika […]
-
WANAFUNZI WAHIMIZWA KUDUMISHA NIDHAMU WANAPOKUWA SHULENI
Na Benson AswaniWanafunzi wanapasa kupewa fursa ya kudhihirisha uwezo wao wa uongozi kupitia fursa mbali mbali za uongozi shuleni.Akizungumza wakati wa shughuli ya uchaguzi wa viongozi mbali mbali wa wanafunzi […]
-
IDARA YA UPELELEZI YAOMBWA KUCHUNGUZA MADAI YA UFISADI TRANSNZOIA
Na Benson AswaniBaadhi ya Wakongwe Trans nzoia wanalalamikia kutolewa kwa sajili ya kupata Fedha za wazee kwa dai la kuwa wameaga dunia wakidai kuwepo ufisadi katika afisi za utoaji wa […]
-
SERIKALI IMEOMBWA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UHABA WA CHAKULA
Na Benson AswaniPana haja ya serikali kuweka mikakati kukabiliana na uhaba wa chakula vijijini na hata shuleniNi wito ambao umetolewa na mwakilishi wadi ya bratabwa reuben chepsongol ambaye anakariri kwamba […]
Top News








