Author: Charles Adika
-
WAKAZI TRANS NZOIA WATAHADHARISHWA KUHUSU MATAPELI MSIMU HUU.
Kufuatia ongezeko la wizi wa mitandao Cyber Crime msimu huu wa krismasi na mwaka mpya, wito umetolewa kwa umma kuwa wangaalifu na kujiepusha na watu wanaowapigia simu kwa madai ya […]
-
WAKAZI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUKABILI AJALI ZA BARABARANI TRANS NZOIA.
Wakazi wa kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kushirikiana na idara ya trafiki katika kukabili visa vya ajali za barabarani hasa msimu huu wa sherehe za krismasi na mwaka mpya.Ni wito […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUCHANGIA NIDHAMU MIONGONI MWA WANAFUNZI.
Wazazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kushirikiana na walimu katika kuhakikisha nidhamu miongoni mwa wanafunzi.Mkuu wa elimu eneo la bonde la ufa Jared Obiero amesema kuwa wazazi ndio […]
-
UTEPETEVU MIONGONI MWA IDARA ZA USALAMA WATAJWA KUCHANGIA UTOVU WA USALAMA MIPAKANI MWA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Utovu wa usalama katika mipaka ya kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet umechangiwa pakubwa na utepetevu miongoni mwa wakuu wa usalama serikalini.Haya ni kwa mujibu […]
-
VIONGOZI BARINGO WATAKA USALAMA KUIMARISHWA ENEO HILO.
Viongozi kwenye kaunti ya Baringo wanaitaka serikali ya kitaifa kuimarisha usalama kwenye maeneo ambayo yamekuwa yakishuhudia utovu wa usalama katika siku za hivi karibuni.Wakiongozwa na mwakilishi akina mama Gladwel Cheruiyot, […]
-
VIONGOZI WA KIKE TRANS NZOIA WALALAMIKIA SHERIA DUNI ZA URIDHI.
Viongozi wa kike katika kaunti ya Trans nzoia wamelalamikia ongezeko la kesi zinazohusu uridhi wanazodai kuwa zinawakandamiza.Wakiongozwa na mwakilishi wadi mteule Sabina Wanjala, viongozi hao wameelezea kughadhabishwa na muda mrefu […]
Top News









