Author: Charles Adika
-
VISA VYA UKEKETAJI VIMEPUNGUA KWA ASILIMIA KUBWA KATIKA ENEO LA KACHELIBA KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Na Benson AswaniShughuli ya kutoa uhamasisho kwa umma kuhusu athari za ukeketaji imepelekea kupungua pakubwa visa hivyo eneo lake Kapchok katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kulingana na chifu […]
-
MWANAMME MMOJA ENEO LA MACHEWA BONDENI KAUNTI YA TRANSNZOIA AMEMKATA MAMAKE KWA UPANGA NA KISHA KUUWAWA NA WAKAAZI WENYE HAMAKI.
NA BENSON ASWANIMwanamme mmoja mwenye Umri wa miaka Hamsini na Mitatu Mkaazi wa Bondeni Machewa katika kaunti ya Transnzoia amemuuwa Mamake mwenye umri wa miaka Sabini na sita kwa kumkata […]
-
WADAU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAENDELEA KUPIGIA DEBE MFUMO MPYA WA CBC.
Na Benson AswaniBaadhi ya wadau katika sekta ya elimu kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupigia debe mfumo mpya wa elimu CBC wanaosema kuwa ni bora zaidi ikilinganishwa na mfumo […]
Top News








