Author: Charles Adika
-
GAVANA LONYANGAPUO AKARI KUJITOLEA SERIKALI YAKE KUIMARISHA ELIMU POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amekariri kauli yake kuwa serikali yake imejitolea kuhakikisha kuwa kila mkazi wa kaunti hii anapata elimu.Akizungumza wakati akizindua kontena za kufanyia […]
-
WANASIASA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUSHIRIKIANA KUFANIKISHA MAENDELEO.
Aliyekuwa mwakilishi wadi maalum Lucy Lotee ameshutumu pakubwa malumbano ambayo yanashuhudiwa miongoni mwa wabunge katika kaunti hii kuhusiana na miradi mbali mbali ikiwemo ujenzi wa barabara.Akizungumza na kituo hiki bi […]
-
WAKULIMA TRANS NZOIA WAPUUZILIA MBALI BEI MPYA YA MAHINDI.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Trans nzoia wamepuuzili mbali bei mpya ya mahindi ambayo ilitangazwa na waziri wa kilimo Peter Munya wakisema kuwa ni ya chini mno […]
-
MAKUNDI YA KINA MAMA TRANS NZOIA YALALAMIKIA UGUMU WA KUPATA MIKOPO.
Makundi ya akina mama eneo la cherang’ani katika kaunti ya Trans nzoia yamelalamikia ugumu wa kupata mikopo hali wanayodai kuwa imesababishwa na kuwepo masharti mengi kabla ya kupata mikopo hiyo.Wakiongozwa […]
Top News










