Author: Charles Adika
-
MITAA YA MABANDA TRANS NZOIA KUIMARISHWA.
NA BENSON ASWANISerikali ya kaunti ya Trans nzoia inalenga kuboresha miundo msingi kwenye mitaa mbali mbali ya mabanda katika kaunti hiyo.Waziri wa ardhi katika kaunti hiyo Boniface Wanyonyi amesema kuwa […]
-
VIONGOZI WANDELEA KULALAMIKI UTOVU WA USALAMA POKOT MAGHARIBI.
NA BENSON ASWANIViongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kulalamikia visa vya utovu wa usalama mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet hasa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA CHEPTULEL.
NA BENSON ASWANIChama cha walimu nchini KNUT tawi la Pokot magharibi kimeelezea wasi wasi kuendelea kuripotiwa utovu wa usalama eneo la Cheptulel mpakani pa kaunti hii na kaunti jirani ya […]
-
WANDANI WA RUTO WAKASHIFU KURUGWA NEMBO YA UDA CHEPARERIA.
NA BENSON ASWANIViongozi mbali mbali wandani wa naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kukashifu hatua ya kuondolewa nembo za chama cha UDA za wilbarow zilizokuwa […]
-
NATEMBEYA ATANGAZA KUJIUZULU JUMA HILI.
NA BENSON ASWANIMshirikishi wa utawala eneo la bonde la ufa George Natembeya ametangaza kuwa atajiuzulu kutoka wadhifa wake juma hili ili kujitosa rasmi katika ulingo wa kisiasa kuwania ugavana wa […]
Top News








