Author: Charles Adika
-
PENDEKEZO LA KUFANYIA WANAFUNZI VIPIMO SHULENI LAENDELEA KUIBUA HISIA.
NA BENSON ASWANIHisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wadau katika sekta ya elimu kuhusu pendekezo la kufanyia vipimo wanafunzi kutoka shule ambazo ziliripoti kuteketezwa majengo ya shule ili kubaini iwapo […]
-
JUHUDI ZAIDI ZAHITAJIKA KUKABILI MIMBA ZA MAPEMA POKOT MAGHARIBI.
NA BENSON ASWANILicha ya visa vya mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi wa kike kuonekana kushuka katika kaunti hii ya Pokot magharibi, ipo haja ya wadau kutia juhudi katika kubuni […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA KATIKA BONDE LA KERIO.
NA BENSON ASWANIKatibu wa chama cha walimu nchini knut kaunti ya Baringo Joshua Cheptarus ameomba serikali ya kitaifa na ile ya kaunti kushugulikia swala la utovu wa usalama katika bonde […]
-
BUNGE LA SENETI KUANZA MJADALA KUHUSU SHERIA ZA VYAMA VYA UCHAGUZI.
Bunge la seneti linatarajiwa kuanza leo vikao vyake vya kujadili mswada wa mabadiliko ya sheria za vyama vya kisiasa ambao ulijadiliwa na kupitishwa wiki iliyopita na bunge la kitaifa katika […]
-
WAKULIMA WAHIMIZWA KUJIANDAA KWA MSIMU WA UPANZI POKOT MAGHARIBI.
NA BENSON ASWANIWakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kujiandaa kwa ajili ya kilimo msimu wa upanzi unapotarajiwa kuwadia.Ni wito wake wa afisa mkuu katika wizara ya kilimo, mifugo, […]
-
VIJANA TRANS NZOIA WATAKIWA KUTOKUBALI KUTUMIA VISIVYO KISIASA.
NA BENSON ASWANIWito umetolewa kwa vijana kaunti ya Trans nzoia na taifa kwa jumla kutokubali kutumika vibaya na wanasiasa kuzua vurugu na badala yake kukumbatia amani.Akizungumza kwenye hamasisho kwa vijana […]
Top News









