Author: Charles Adika
-
ONYO YATOLEWA KWA WANSIASA DHIDI YA KUWATUMIA VIJANA KUVURUGA AMANI POKOT MAGHARIBI.
Viongozi wa kaunti hii ya Pokot magharibi hasa kutoka mrengo wa naibu rais William Ruto wameendelea kushutumu matukio ambapo nembo za chama hicho zinazotundikwa maeneo mbali mbali kaunti hii zinang’olewa […]
-
SERIKALI YAENDELEZA MIKAKATI YA KUFANIKISHA MTAALA WA UMILISI CBC.
NA BENSON ASWANISerikali imeendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kuwa mtaala wa umilisi CBC unafanikishwa jinsi ilivyopangwa.Mkurugenzi wa elimu eneo la Kipkomo kaunti hii ya Pokot magharibi Evans Onyancha amesema kuwa […]
-
WAKAZI TRANS WATAKIWA KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO.
NA BENSON ASWANIWito umetolewa kwa wapiga kura Kaunti ya Trans Nzoia kumakinika zaidi mwaka huu kwa kuwachagua viongozi watakaohakikisha usimamizi bora wa rasilimalii zao mbali na utekelezwaji wa miradi ya […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUANDAMA WATU WACHACHE WANAOSABABISHA UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
NA BENSON ASWANIAliyekuwa gavana wa kwanza kaunti ya Baringo Benjamin Cheboi amesema kwamba jamii nzima haistahili kulaumiwa kutokana na utovu wa usalama unaoshuhudiwa katika eneo la bonde la kerio.Cheboi amesema […]
-
MSHIRIKISHI WA UTAWALA ENEO LA BONDE LA UFA GEORGE NATEMBEYA AJIULUZU
Mshirikishi wa utawala eneo la bonde la ufa George Natembeya hatimaye ametangaza kujiuzulu wadhifa wake ili kuzingatia safari yake ya kugombea ugavana wa kaunti ya Trans nzoia katika uchaguzi mkuu […]
-
WATU WAWILI WAJERUHIWA KUHUSIANA NA SIASA ZA ‘WILBARO’ POKOT MAGHARIBI.
NA BENSON ASWANIWatu wawili wanauguza majeraha katika hospitali ya kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi baada ya kuvamiwa kwa mshale kwa kudaiwa kung’oa wailbaro zilizokuwa zimetundikwa karibu na kalbu ya […]
Top News









