Author: Charles Adika
-
CALEB AMISI APIGWA JEKI KUWANIA TENA UBUNGE SABOTI, TRANS NZOIA.
Mbunge Saboti Caleb Amisi amepigwa jeki katika azma yake ya kuwania tena ubunge wa eneo bunge hilo katika uchaguzi mkuu ujao baada ya mgombea wa kiti hicho kwa chama cha […]
-
MIKAKATI YAENDELEA KUWEKWA KUKABILI MABADILIKO YA HALI YA ANGA TRANS NZOIA.
Shirika la climate change Governance chini ya mradi wa Anglican Development Services kwa ushirikiano na serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia zimebuni mfumo utakaowezesha Kaunti ya Trans Nzoia kupata ufadhili […]
-
WIZARA YA ELIMU YATAKIWA KUWEKEZA ZAIDI KATIKA MASWALA YA ELIMU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mbunge wa Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto ameitaka wizara ya elimu kuwekeza zaidi katika shule za maeneo ya mashinani ili kuwapa nafasi wanafunzi katika shule hizo […]
-
WITO WATOLEWA KWA VIONGOZI KUWAFANYIA WANANCHI MAENDELEO KATIKA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI NA BENSON AWASNI
Aliyekuwa mwakilishi wadi mteule Lucy Lotee amemsuta vikali mwakilishi wadi ya kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Emmanuel Madi kwa kile amedai kutowajibika katika majukumu yake.Bi. Lotee ambaye ametangaza […]
Top News









