Author: Charles Adika
-
MIMBA ZA MAPEMA ZATAJWA KUSALIA CHANGAMOTO POKOT MAGHARIBI.
Wadau katika sekta ya elimu wameendelea kulalamikia mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi wa kike katika shule mbali mbali kaunti hii ya Pokot magharibi hali ambayo imewapelekea wanafunzi wengi kukosa […]
-
HATUA YA MUDAVADI KUSHIRIKIANA NA RUTO YAZIDI KUIBUA HISIA NCHINI.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia hatua ya kinara wa chama cha ANC Musalia Mudavadi kuamua kushirikiana na naibu rais William Ruto kuelekea uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Baadhi ya wandani […]
-
VIONGOZI BARINGO WASHINIKIZA KUBADILISHEA MBINU ZA KUKABILI UTOVU WA USALAMA KAUNTI HIYO.
Pana haja ya kubadilishwa mbinu za kukabili utovu wa usalama unaochangiwa na uvamizi pamoja na wizi wa mifugo kwenye eneo bunge la baringo kaskazini na kusini kwenye kaunti ya baringo.Kulingana […]
-
SERIKALI YA LONYANGAPUO YAZIDI KUKASHIFIWA KWA MADAI YA UFISADI.
Uchaguzi mkuu wa agosti 9 unapokaribia wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini na kuweka kwenye mizani kila kiongozi ili kuwachagua viongozi kulingana na rekodi yao ya […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUJISAJILI KWA WINGI KUWA WAPIGA KURA.
Awamu ya pili ya zoezi la kuwasajili wapiga kura wapya likiingia wiki ya pili, miito imeendelea kutolewa kwa vijana ambao hawajajisajili kuhakikisha kuwa wanafika katika vituo vya kuwasajili wapiga kura […]
Top News









