Author: Charles Adika
-
‘CHAMA CHA KANU KINGALI IMARA POKOT MAGHARIBI’ ASEMA POGHISIO.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amesema kuwa chama cha KANU katika kaunti hii sasa kitaimarika zaidi baada ya kuondoka baadhi ya wanachama anaodai kuwa walikuwa wakivuruga […]
-
MUUNGANO WA WANAFUNZI WATAKA SERIKALI KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Muungano wa wanafunzi wa vyuo vikuu kutoka kaunti hii ya Pokot magharibi, wameitaka serikali kuweka mikakati ya kutosha itakayopelekea kukabiliwa hali ya utovu wa usalama katika eneo zima la bonde […]
-
KNUT CHATISHIA KUSITISHA SHUGHULI ZA ELIMU BONDE LA KERIO.
Viongozi wa chama cha kitaifa cha walimu KNUT na chama cha walimu wa shule za upili na vyuo vya kadri KUPPET kwenye eno la kaskazini mwa bonde la ufa , […]
Top News







