Author: Charles Adika
-
WITO UMETOLEWA KWA WANASIASA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUTOINGIZA SIASA KATIKA MASUALA YA CHAKULA.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amemshutumu gavana johna lonyangapuo kwa kile amedai kutumia msaada wa chakula ambao unatolewa na serikali kwa kaunti zinazokabliwa na ukame kuendeleza […]
-
MAHAKAMA KUU INATARAJIWA KUJENGA MAHAKAMA ZAIDI ENEO LA ALALE NA SIGOR KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Idara ya mahakama itajitolea kuhakikisha kuwa wakenya wote wanapata haki kwa usawa hasa katika jamii ambazo zilitengwa kwa muda mrefu nchini.Akizungumza baada ya kuzindua rasmi jengo la mahakama ya Kapenguria […]
-
MWANAFUNZI WA DARASA LA SABA AONYESHA UELEDI WAKE KWA KUUNDA DRONI MJINI KITALE KAUNTI YA TRANSNZOIA
Mwanafunzi mmoja wa darasa la saba wa shule ya msingi ya Chepkoilel Birunda, kwenye kaunti ya Trans nzoia ametengeneza droni kwa kutumia vifaa vya plastiki, mabati na nyaya kuu kuu.Mwanafunzi […]
-
MAJIBIZANO YAENDELEA KUSHUHUDIWA KATI YA GAVANA NA SENETA WA POKOT MAGHARIBI.
Seneta wa kaunti hii ya pokot magharibi Samwel Poghisio ameshutumu gavana wa kaunti hii John Lonyangapuo kutokana na kauli yake kuwa ndiye aliyemsaidia kuinuka kisiasa hata kufikia viwango vya sasa.Akizungumza […]
-
UDA YAANZA MIKAKATI YA KUTEKELEZA MFUMO WA UCHUMI WA BOTTOM UP POKOT MAGHARIBI.
Viongozi wa chama cha UDA kinachoongozwa na naibu rais William Ruto katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameanza mikakati ya kuangazia mikakati ya jinsi ya kutekeleza matakwa ya wananchi iwapo […]
Top News







