News
-
WAAKILISHI WADI TRANS NZOIA WATAKIWA KUSHIRIKIANA NA GAVANA NATEMBEYA.
Viongozi wa kidni katika kaunti ya Trans nzoia wamewataka waakilishi wadi katika kaunti hiyo kushirikiana na gavana George Netembeya na kuhakikisha kuwa wanapitisha miswada muhimu ili kuiwezesha kaunti hiyo kuimarika […]
-
WAKUU WA SHULE WALALAMIKIA MAANDALIZI DUNI YA KUWAPOKEA WANAFUNZI WA SHULE ZA UPILI DARAJA YA CHINI.
Baadhi ya wakuu wa shule katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia maandalizi duni ya kuwapokea wanafunzi wa shule za sekondari kiwango cha chini yani Junior sekondari katika mtaala mpya […]
-
RUTO AWATAJA WAPIGA KURA NA MWENYEKITI WA IEBC KUWA MASHUJAA WA UCHAGUZI.
Rais mteule William Ruto amemlimbikizia sifa mwenyekiti wa tume ya uchaguzi na mipaka nchini IEBC Wafula Chebukati, idara ya mahakama na wakenya wapiga kura kuwa mashujaa wa uchaguzi wa mwaka […]
-
USHINDI WA RUTO WAENDELEA KUSHEREHEKEWA KOTE NCHINI.
Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi ambao ni wafuasi wa muungano wa Kenya kwanza wameendelea kupongeza uamuzi wa mahakama ya juu uliodumisha ushindi wa rais Mteule William […]
-
WAKAZI MARIGAT WAKADIRIA HASARA KUFUATIA MAFURIKO YALIYOKUMBA MJI HUO WIKENDI.
Serikali ya kaunti ya Baringo imeahidi kuweka mikakati ya kudhibiti mafuriko kwenye eneo la marigat, eneo bunge la Baringo kusini baada ya mkasa wa jumamosi uliojiri kufuatia mvua kubwa iliyonyesha.Akiongea […]
-
KACHAPIN ATOA ONYO KALI DHIDI YA WAFANYIKAZI HEWA.
Gavana wa kaunti ya Pokot maghaibi Simon Kachapin amesema kuwa seikali yake itafanyia ukaguzi wafanyikazi wake.Kachapin amesema kuwa ilivyo kwa sasa kaunti hii ina wafanyikazi wengi hewa ambao wanapokea mishahara […]
-
HATIMA YA KESI KUHUSU MATOKEO YA URAIS KUBAINIKA LEO.
Macho yote sasa yameelekezwa kwa jopo la majaji saba wa Mahakama ya juu wanapotarajiwa kutoa uamuzi wao kuhusiana na kesi ya kupinga matokeo ya uchaguzi wa agosti 9 mwaka huu.Ni […]
-
WAKAAZI WAOMBWA KUWA NA SUBIRA WAKATI MAHAKAMA INAPOENDELEA KUSIKILIZA KESI KUPINGA MATOKEO YA URAIS
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kuendelea kuwa na subra wakati mahakama ya juu ikiendelea kusikiliza na hata itakapotoa uamuzi wake kuhusu kesi za kupinga ushindi […]
-
GAVANA WA POKOT MAGHARIBI AWAHAKIKISHIA WAKAAZI AHADI ZOTE ALIZOTOA WAKATI WA KAMPEINI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kuwa atahakikisha anatekeleza ahadi ambazo alitoa wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu wa tarehe 9 mwezi agosti mwaka […]
-
RUTO ATETEA USHINDI WAKE MAHAKAMANI ALHAMISI.
Vikao vya kusikiliza kesi ya kupinga ushindi wa rais mteule William Ruto vinaingia leo siku ya pili baada ya kuaza rasmi hiyo jana.Leo ni zamu ya mawakili wa Ruto na […]
Top News










