News
-
WAZIRI ALIYEAPISHWA KAUNTI YA POKOT AAHIDI KUHAKIKISHA HALI ZA HOSPITALI ZOTE ZINAIMARIKA
Waziri wa afya katika kaunti hii ya Pokot magharibi Cleah Parklea amewaahidi wakazi wa kaunti hii huduma bora na sawa za afya katika hospitali na zahanati zote zinazopatikana katika kaunti […]
-
VIONGOZI BONDE LA KERIO WATAKA FIDIA KWA WALIOATHIRIKA NA UVAMIZI.
Kama njia moja ya kuponya makovu ya ujambazi katika bonde la kerio, viongozi wa eneo hilo wamesema watapitisha mswada bungeni wa kuwalipa fidia walioathirika na visa vya mara kwa mara […]
-
JUHUDI ZA MASHIRIKA YA KIJAMII POKOT MAGHARIBI ZAPONGEZWA.
Waziri wa kilimo, mifugo na uvuvi katika kaunti hii ya Pokot magharibi Wilfred Longronyang ameyapongeza mashirika ya kijamii katika kaunti hii yakiwemo ACF na FAO kwa juhudi ambazo yanafanya kuwawezesha […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUONGEZA IDADI YA VITUO VYA POLISI TIATI.
Pana haja ya serikali kupitia wizara ya usalama wa kitaifa kuongeza idadi ya vituo vya polisi katika eneo bunge la Tiaty ili kuimarisha usalama. Ndio usemi wake mbunge wa mogotio […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHAKIKISHA HUDUMA BORA ZA AFYA.
Mbunge wa sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi Peter Lochakapong ameelezea imani kwamba sekta ya afya katika kaunti hii ambayo imetajwa kuwa na changamoto tele katika uongozi uliotangulia itaimarika […]
-
OCPD WA ALALE ASUTWA KWA MADAI YA ULAJI RUSHWA.
Wahudumu wa magari yanayohudumu katika barabara ya kacheliba wamelalamikia kuhangaishwa na OCPD wa pokot kaskazini hasa eneo la Alale ambaye wanadai kwamba anawatoza shilingi 500 kila mwezi kwa kila gari […]
-
WAKAAZI KAUNTI YA TRANSNZOIA WANAMTAKA GAVANA KUWATEUA MAAFISA WAADILIFU
Chama cha kutetea maslahi ya wafanyikazi katika kaunti ya Trans nzoia kimemtaka gavana wa kaunti hiyo George Natembeya kuwateua maafisa waadilifu na ambao wataimarisha utendakazi katika serikali yake anapotarajiwa kutangaza […]
-
WAKAAZI WA BARINGO WANATAKA JOPO KAZI LILILOTEULIWA KUFIKA MASHINANI KUPOKEA MAONI KUHUSU MTALAA WA CBC
Jopokazi lililoteuliwa na rais dkt william ruto la kutathmini mtaala wa cbc likiwa na kipindi cha miezi sita chaa kusaka maoni kutoka kwa wadau tofauti baadhi ya wakazi kaunti ya […]
-
MISURURU YA MIKUTANO YAANZISHWA NA WAZEE WA JAMII YA POKOT ILI KUMALIZA MIZOZO INAYOSHUHUDIWA KWENYE MIPAKA
Wazee kutoka jamii ya Pokot sasa wameanzisha misururu ya mikutano ya amani katika Bonde la Kerio ambalo linakabiliwa na utovu wa usalama na mauaji ya mara kwa mara Kulingana na […]
-
WAKUU WA VYAMA VYA WALIMU WA WALALAMIKIA UCHACHE WA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kitaifa imetakiwa kuhakikisha kwamba inaajiri walimu wa kutosha wa shule za upili ili kukidhi idadi kubwa ya wanafunzi wanaotarajiwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka ujao hasa ikizingatiwa […]
Top News










