News
-
MIITO YA MISAADA YATOLEWA HUKU BAA LA NJAA LIKIENDELEA KUKITA MIZIZI TURKANA.
Mwenyekiti wa jamii ya Turkana kaunti ya Trans nzoia Jackson Eragai amewataka wanasiasa, wafanyibiashara na watu wenye nia njema kutoa msaada wa chakula kwa wakazi wa kaunti ya Turkana ili […]
-
CHANGAMOTO YATOLEWA KWA VIJANA KUHUSIKA KATIKA KUKABILI MABADILIKO YA TABIA NCHI.
Vijana kutoka wadi ya Chepareria eneo bunge la Pokot kusini wametakiwa kukumbatia upanzi wa miti na kuelimisha jamii kupitia mitandao kufuatia ongezeko la ukame unaoshuhudiwa nchini.Mshirikishi wa shirika la Green […]
-
RIPOTI YA MCHUJO WA MAWAZIRI TRANS NZOIA YATARAJIWA BUNGENI.
Kamati ya uteuzi katika kaunti ya Trans nzoia inatarajiwa kuwasilisha ripoti yake bungeni baada kukamilisha kuandaa ripoti ya mawaziri wateule iliyowahoji juma lililopita.Baada ya kuiwasilisha ripoti hiyo wawakilishi wadi thelathini […]
-
OCPD ANAYEONDOKA AMTAKA MRITHI WAKE KUENDELEZA USHIRIKIANO MWEMA POKOT YA KATI.
OCPD wa Sigor kaunti hii ya Pokot magharibi anayeondoka Bamford Surwa amemtaka anayechukua nafasi yake pamoja na maafisa wengine wa usalama eneo hilo kuendeleza ushirikiano mwema alioanzisha baina ya maafisa […]
-
UKOSEFU WA MADAKTARI MARICH WA WAFANYA WANANCHI KUTEMBEA MWENDO MREFU KUTAFTA HUDUMA
Wakazi wa eneo la Marich Sigor katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia huduma duni za afya kufuatia ukosefu wa madaktari katika kituo cha afya eneo hilo kwa takriban miaka […]
-
MWANAYE KIPNG’OK AIDHINISHWA RASMI NAIBU GAVANA WA BARINGO.
Bunge la kaunti ya Baringo limeidhinisha uteuzi rasmi wa Felix kiplagat maiyo kama naibu gavana kaunti hiyo kama ilivyopendeleza kamati ya uteuzi ya bunge hilo. Kwenye kikao kilichoandaliwa mapema alhamisi […]
-
SERIKALI YAENDELEA KUWEKA MIKAKATI KUKABILI KERO LA UKAME
Huku hali ya ukame ukiendelea kukithiri katika baadhi ya kaunti nchini serikali ya kaunti hii kupitia idara ya kilimo inaendelea kuweka mikakati ya kuhakikisha kwamba wakazi wanapata suluhu ya kudumu […]
-
URAIBU WA POMBE NA DAWA ZA KULEVYA WATISHIA MUSTAKABALI WA VIJANA MATHARE, POKOT MAGHARIBI.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi kupitia idara za usalama imetakiwa kuingilia kati na kukabili matumizi ya dawa za kulevya na pombe katika mtaa wa mathare viungani mwa mji […]
-
BUNGE LA TRANS NZOIA LATAKIWA KUMAKINIKA KATIKA KUWAPIGA MSASA MAWAZIRI WA NATEMBEYA.
Gavana wa kaunti ya Trans nzoia George Natembeya ametetea orodha ya majina ya maafisa watakaohudumu katika serikali yake na ambayo anatarajiwa kuwasilisha katika bunge la kaunti hiyo kupigwa msasa akisema […]
-
SHULE ZASALIA MAHAME KACHELIBA KUFUATIA MAKALI YA NJAA
Shule nyingi eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magaribi zinakosa mgao wa kutosha unaotolewa na serikali kuu kuendesha shughuli shuleni humo kutokana na idadi ndogo ya wanafunzi katika […]
Top News









