News
-
TAKWIMU ZAONYESHA ONGEZEKO LA KINA MAMA WANAOTUMIA MBINU ZA KISASA ZA UPANGAJI UZAZI POKOT MAGHARIBI.
Utafiti wa hivi punde unaashiria kuwa asilimia ya wanawake hasa walio kwenye ndoa na ambao wanatumia mbinu za kisasa za kupanga uzazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi imeongezeka mara […]
-
MIITO YA MSAADA WA CHAKULA POKOT MAGHARIBI YAENDELEA, IDADI YA WAATHIRIWA WA BAA LA NJAA IKIZIDI KUONGEZEKA.
Wahisani mbali mbali na mashirika ya kijamii yametakiwa kujitokeza na kuwasaidia wakazi wa maeneo mbali mbali ya kaunti hii ya Pokot magharibi ambao wanakabiliwa na baa la njaa kufuatia ukame […]
-
JOPO LA KUANGAZIA CBC LAZURU POKOT MAGHARIBI HUKU MTAALA HUO UKIENDELEA KUPOKEA PINGAMIZI
Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupinga utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC huku jopo lililobuniwa na rais William Ruto likiendeleza vikao vya mwisho mwisho […]
-
UTAPIA MLO WATAJWA KUKITHIRI POKOT MAGHARIBI MASHIRIKA YA KIJAMII YAKICHANGIA JUHUDU ZA KUKABILI HALI HIYO.
Shirika la Action Agaisnt Hunger ACF limeikabidhi hospitali ya kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi dawa zitakazotumika kuwashughulikia watoto walioathirika na utapia mlo maeneo mbali mbali ya kaunti hiyo.Akizungumza wakati […]
-
KACHAPIN ATAKA POLISI WANAOENDELEZA OPARESHENI MARICH KUONDOLEWA MARA MOJA.
Gavana wa kaunti hii ya pokot magharibi simon kachapin ameitaka idara ya polisi kuondoa vizuizi kwenye barabara kuu ya kapenguria kuelekea lodwar akidai vinatumika visivyo na polisi kuwanyanyasa wasafiri .Akizungumza […]
-
BUNGE LA POKOT MAGHARIBI LAAHIDI KUIWAJIBISHA SERIKALI BILA KUZINGATIA MIEGEMEO YA KISIASA.
Bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi litatumia fursa hii ambapo kuna umoja miongoni mwa wabunge katika bunge hilo kuhakikisha kwamba serikali iliyo mamlakani inawajibika inavyostahili kwa ajili ya wakazi.Haya […]
-
BAADHI YA WADAU WASHIKILIA MSIMAMO WA KUFUTILIWA MBALI MTAALA WA CBC.
Jopokazi la kuangazia utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC linapoendeleza vikao vya kukusanya maoni kuhusu mtaala huo kutoka kwa wakenya maeneo mbali mbali ya nchi, wadau mbali mbali wameendelea […]
-
GAVANA KACHAPIN ATISHIA KUFUNGULIA MASHITAKA SERIKALI YA UINGEREZA KUFUATIA MAUAJI YA KOLOWA.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amekariri msimamo wake wa kufungua kesi dhidi ya serikali ya uingereza kufuatia mauaji ya wafuasi wa dini ya mafuta pole yanayodaiwa […]
-
KOMONGIRO ATETEA BARAZA LA MAWAZIRI POKOT MAGHARIBI.
Mwakilishi wadi ya Sook katika kaunti hii ya Pokot magharibi Martine Komongiro ametetea uteuzi wa maafisa wanaohudumu katika serikali ya gavana Simon Kachapin kufuatia lalama za baadhi kuwa waliahidiwa nafasi […]
-
UTEUZI WA JOEL ARUMONYANG KAMA KATIBU WAENDELEA KUVUTIA HISIA POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi Simon Kachapin amepongeza uteuzi wa rais William Ruto wa makatibu katika wizara mbali mbali za serikali yake.Kachapin aidha alipongeza uteuzi wa Joel Arumonyang […]
Top News










