News
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA USALAMA WA WAFUGAJI WANAPOHAMA KUTAFUTA LISHE KWA MIFUGO.
Serikali imetakiwa kuimarisha usalama eneo la Amudat mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda ili kutoa ulinzi kwa wafugaji wanaohamisha mifugo wao kuwatafutia lishe kufuatia […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUCHANGIA JUHUDI ZA KUIMARISHA USAFI TAIFA LINAPOADHIMISHA WIKI YA USAFI.
Taifa likiadhimisha wiki ya usafi idara mbali mbali katika serikali ya kaunti hii ya Poikot magharibi zimeelezea kushirikiana kuhakikisha kwamba usafi wa mazingira unaimarishwa katika kaunti hii. Akizungumza wakati wa […]
-
MJADALA UNAOHUSU KUBUNIWA KAUNTI MPYA YA MLIMA ELGON WAZIDI KUTOKOTA.
Mjadala wa kuongeza idadi ya kaunti kutoka arobaini na saba hadi hamsini na mbili unaendelea kuibua hisia kinzani huku wanasiasa na Wakaazi wa maeneo yanayolengwa wakiwasuta wanaopinga pendekezo hilo Mmoja […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUJISAJILI KATIKA MAKUNDI ILI KUNUFAIKA NA ‘HUSTLER FUND’
Kama njia moja wepo ya kuinua makundi ya vijana na akina mama kaunti ya Pokot magharibi kupitia hazina ya serikali kuu ya serikali kuna haja ya wao kujiandikisha kwenye vikundi. […]
-
SERIKALI ZA KAUNTI ZATAKIWA KUTENGA BAJETI YA KUKABILIANA NA UGONJWA WA KALA AZAR.
Serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi imetakiwa kutenga bajeti ya kushughulikia ugonjwa wa kala azar ili kukabili athari za ugonjwa huo ambao mara nyingi huripotiwa katika maneo kame nchini. […]
-
WADAU WATAKA MTAALA WA CBC KUAHIRISHWA HADI MIKAKATI THABITI IWEKEWE KUUTEKELEZA.
Jopo la kutathmini utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC likisubiriwa kuandaa ripoti kuhusu vikao lilivyoandaa maeneo mbali mbali ya nchi kutafuta maoni kuhusu mtaala huo, baadhi ya wadau katika […]
-
WAKAZI WATAKA MAREKEBISHO KATIKA IDARA YA POLISI POKOT MAGHARIBI.
Wakazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kushutumu kisa ambapo mwanamke mmoja alipigwa risasi jumatatu na afisa wa polisi katika soko la Kacheliba katika kile ambacho kinadaiwa kuwa mzozo […]
-
AFISA WA POLISI AMPIGA RISASI MWANAMKE MMOJA KACHELIBA KUFUATIA MZOZO WA KIMAPENZI.
Mwanammke moja kutoka soko la kacheliba kaunti ya Pokot Magharibi anauguza majeraha ya risasi tumboni baada ya kupigwa risasi na afisa mmoja wa polisi asubuhi ya jumatatu.Inadaiwa afisa anayejulikana kama […]
-
BAADHI YA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAPINGA MATUMIZI YA NPR KATIKA KUIMARISHA USALAMA.
Licha ya shinikizo za baadhi ya viongozi kutoka bonde la kerio kutaka uajiri wa maafisa zaidi wa NPR, mbunge wa Kapenguria katika kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Moroto ameelezea […]
-
UKOSEFU WA UMEME WATAJWA CHANGAMOTO KUU ENEO LA SIGOR POKOT MAGHARIBI.
Wakazi wa eneo la Tamkal wadi ya Weiwei eneo bunge la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi wamelalamikia ukosefu wa nguvu za umeme licha ya kampuni ya kusambaza umeme KPLC […]
Top News










