News
-
WALIMU KUTOKA POKOT MAGHARIBI WANAOFUNZA TRANS NZOIA WAAPA KUTOREJEA DARASANI IWAPO HAWATAPEWA UHAMISHO.
Walimu kutoka kaunti ya Pokot magharibi wanaofunza katika shule za kaunti ya Trans nzoia waliandamana katika afisi za tume ya huduma kwa walimu TSC mjini Kapenguria kushinikiza kupewa uhamisho ili […]
-
‘KELELE’ ZA KINDIKI ZAONEKANA KUTOYUMBISHA NAFSI ZA WAVAMIZI BONDE LA KERIO.
Washukiwa wa wizi wa mifugo wamevamia vijiji vya Lokwar, Nakuse na Kaptir Turkana kusini kaunti ya Turkana na kuwaua wanafunzi wanne huku mamia ya wakazi wakilazimika kuyakimbia makazi yao kutokana […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YATARAJIWA KUZINDUA BASARI KWA WANAFUNZI IJUMAA WIKI HII.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi inatarajiwa kutoa hundi za fedha za basari kwa wanafunzi wote waliotuma maombi ya kutaka ufadhili huo kuanzia ijumaa wiki hii katika shughuli itakayofanyika shule […]
-
WALIMU KUTOKA POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUNYIMWA UHAMISHO NA AFISI ZA TSC TRANS NZOIA.
Mamia ya walimu kutoka kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kupiga kambi katika afisi ya Kamishna wa kaunti ya Trans-Nzoia, kulalamikia hatua ya tume ya kuajiri walimu nchini, TSC, kuchelewesha uhamisho […]
-
MAAFISA WA ELIMU POKOT MAGHARIBI WAENDESHA UKAGUZI SHULENI MASOMO YA GREDI YA SABA YAKIANZA RASMI.
Maafisa katika idara ya elimu na ile ya usalama kaunti ya pokot magharibi wamefanya ukaguzi katika baadhi ya shule kwenye kaunti hiyo wakati wanafunzi waliofanya mtihani wa gredi ya sita […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WALAUMIWA KWA KUENDELEZA SIASA ZA MAPEMA.
Aliyekuwa seneta wa kaunti ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amewakosoa baadhi ya viongozi wa kisiasa katika kaunti hiyo kwa kile amesema kwamba wameanza kujihusisha na siasa za mapema miezi michache […]
-
WADAU WATAKIWA KUZIDISHA VITA DHIDI YA MIMBA ZA MAPEMA MIONGONI MWA WATOTO WA KIKE.
Jamii imetakiwa kuchangia katika juhudi za kuhakikisha kwamba mimba za mapema miongoni mwa watoto wa kike zinakomeshwa kabisa katika kaunti ya Pokot magharibi.Ni wito wake naibu mwalimu mkuu wa shule […]
-
UTOVU WA USALAMA WASALIA KIZUNGUMKUTI CHESOGON, WAKAZI WAKIPAZA VILIO.
Wakazi wa Cheptulel eneo la Chesogon mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo Marakwet wamelalamikia kukithiri utovu wa usalama ambao unasababishwa na uvamizi wa mara kwa […]
-
SERIKALI ILIYOTANGULIA POKOT MAGHARIBI YASUTWA KWA ‘KUPORA’ MSAADA WA WAATHIRIWA WA MAPOROMOKO YA ARDHI.
Gavana wa kaunti ya Pokot magharibi Simon Kachapin ameisuta vikali serikali iliyotangulia ya aliyekuwa gavana John Lonyangapuo kuhusiana na jinsi ilivyoshughulikia waathiriwa wa maporomoko ya ardhi yaliyoshuhudiwa mwaka 2019.Akizungumza na […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAHIMIZWA KUZINGATIA USHIRIKIANO NA KUEPUKA SIASA ZA KILA MARA.
Aliyekuwa mbunge wa Sigor katika kaunti hii ya Pokot Magharibi Philip Rotino ametoa wito kwa viongozi na wakazi wa kaunti hii kudumisha umoja.Akizungumza na kituo hiki Rotino amewataka viongozi waliochaguliwa […]
Top News










