News
-
PKOSING AKAMATWA NA KUHOJIWA NA DCI KUHUSU UTOVU WA USALAMA KERIO VALLEY.
Mbunge wa Pokot kusini David Pkosing alikamatwa alhamisi jioni na kuhojiwa kwa muda na idara ya upelelezi DCI kabla ya kuachiliwa huru kufuatia madai ya kutoa semi zinazodaiwa kuchochea uhasama […]
-
WAKAZI MASOL WALALAMIKA KUATHIRIKA NA AMRI YA KUTOKUWA NJE.
Aliyekuwa mwakilishi wadi ya Masol eneo bunge la Sigor katika kaunti ya Pokot magharibi Ariong’o Loporna amelalamikia utekelezwaji wa amri ya kutokuwa nje kuanzia saa kumi na mbili jioni hadi […]
-
WALIMU WAONYWA DHIDI YA KUWASAJILI WANAFUNZI WA GREDI YA SITA KUFANYA MTIHANI WA DARASA LA NANE KCPE.
Idara ya elimu eneo la Pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi imewaonya vikali wazazi na walimu wakuu wa shule mbali mbali dhidi ya kuwasajili wanafunzi waliofanya mtihani wa gredi […]
-
OPARESHENI YA KIUSALAMA YAANZA RASMI BONDE LA KERIO HUKU IDARA ZA USALAMA ZIKICHUKUA TAHADHARI KUZUIA WAHALIFU KUKIMBILIA MAENEO MENGINE.
Idara ya usalama eneo la pokot kusini katika kaunti ya Pokot magharibi iko imara kuhakikisha kwamba hamna mkazi yeyote kutoka maeneo ambako kunaendeshwa oparesheni ya kiusalama atatorokea eneo hilo.Naibu kamishina […]
-
WAKAZI WA JAMII YA POKOT WATOA WITO KWA SERIKALI YA UGANDA KUWAHAKIKISHIA USALAMA KARITA.
Wakazi wa eneo la Karita mpakani pa kaunti ya Pokot magharibi na taifa jirani la Uganda wametoa wito kwa serikali ya rais Yoweri Museven kuzidisha juhudi za kuhakikisha amani inadumishwa […]
-
WADAU WAENDELEZA MIKAKATI YA KUKABILI ATHARI ZA UKAME POKOT MAGHARIBI.
Maeneo ya pokot ya kati na pokot kaskazini katika kaunti hii ya Pokot magharibi ndiyo yaliyoathirika zaidi na hali ya ukame ambayo imeendelea kushuhudiwa nchini.Haya yalibainika katika kikao cha wadau […]
-
IDARA YA TRAFIKI POKOT MAGHARIBI YAENDELEZA MIKAKATI YA KULETA NIDHAMU KATIKA SEKTA YA BODA BODA.
Wahudumu wa boda boda mjini Kapenguria katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuzingatia kikamilifu sheria za barabarani ili kuhakikisha kwamba nidhamu inadumishwa na kuzuia ajali za mara kwa mara.Akizungumza wakati […]
-
WIZARA YA ELIMU POKOT MAGHARIBI YATARAJIWA KUFANYIA UCHUNGUZI SHULE YA UPILI YA CHEPKORNISWO KUFUATIA MAANDAMANO YA WANAFUNZI.
Waziri wa elimu kaunti ya Pokot magharibi Rebecca Lotuliatum amelalamikia kisa cha wanafunzi wa shule ya upili ya Chepkorniswo eneo la pokot kusini kuandamana hadi afisi za kaunti mjini Kapenguria […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YAENDELEA KUWEKA MIKAKATI YA KUHAKIKISHA USALAMA UNADUMISHWA.
Serikali ya kaunti ya Pokot magharibi imefungua barabara ya kutoka karawal kuelekea Kapushen hadi Kongolokwan mpakani pa maeneo bunge ya pokot kusini na Sigor kama baadhi ya juhudi za kuimarisha […]
-
RAIS RUTO ATAKIWA KUFANYA KILA JUHUDI KUMALIZA UHALIFU ULIOKITHIRI BONDE LA KERIO
.Viongozi mbali mbali kutoka eneo la bonde la kerio sasa wanamtaka rais William Ruto kufanya kila awezalo kuhakikisha kwamba usalama umerejeshwa eneo hilo na kukomesha mahangaiko ya wakazi kwenye maeneo […]
Top News









