News
-
LOCHAKAPONG AAHIDI KURAHISISHA SHUGHULI ZA WAKAZI WA SIGOR KUPITIA UKARABATI WA BARABARA.
Mbunge wa Sigor Peter Lochakapong amesema kwamba atahakikisha barabara zote katika eneo bunge lake ambazo haziko katika hali nzuri zinakarabatiwa ili kurahisisha shughuli za uchukuzi kwa wakazi wa eneo hilo. […]
-
SHINIKIZO ZA KUBAINISHWA MIPAKA YA KAUNTI ZA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA ZAENDELEA KUTOLEWA.
Viongozi wa kisiasa katika kaunti ya Pokot magharibi wameendelea kutoa wito kwa serikali kuendesha zoezi la kubaini mipaka baina ya kaunti hiyo na kaunti jirani ya Turkana. Wa hivi punde […]
-
KINA MAMA WATAKIWA KUJIHUSISHA NA KILIMO NA KUTOWATEGEMEA ZAIDI WAUME ZAO KWA KILA JAMBO.
Kina mama katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kujihusisha na swala la kilimo cha ufugaji ili waweze kujikimu kimaisha na kutotegemea zaidi waume zao kwa kila jambo. Akizungumza eneo la […]
-
UFUGAJI WA KUHAMAHAMA WATAJWA KUWA KIKWAZO KWA SHUGHULI ZA ELIMU MAENEO KAME.
Wadau katika sekta ya elimu maeneo yanayokumbwa na ukame katika kaunti ya Pokot magharibi wametoa wito kwa serikali kuweka mikakati itakayohakikisha kwamba wazazi maeneo hayo hawahami ili kutafuta lishe kwa […]
-
VIONGOZI WA KISIASA WALAUMIWA KWA KUKITHIRI UTOVU WA USALAMA MIPAKANI PA POKOT MAGHARIBI NA TURKANA.
Mwakilishi wadi ya Seker Jane Mengich amewalaumu baadhi ya viongozi wa kisiasa kwa hali ya utovu wa usalama ambayo imekuwa ikishuhudiwa mipakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani […]
-
UKEKETAJI NA NDOA ZA MAPEMA ZASALIA CHANGAMOTO KWA MTOTO WA KIKE POKOT MAGHARIBI.
Swala la ukeketaji na ndoa za mapema limesalia changamoto kuu kwa mtoto wa kike katika kaunti ya Pokot magharibi. Akizungumza eneo la Kamula wadi ya Kiwawa, mkurugenzi wa idara ya […]
-
MASHAMBULIZI YAENDELEA KUSHUHUDIWA TURKWEL LICHA YA IDARA YA USALAMA KUWAHAKIKISHIA WAKAZI USALAMA.
Watu wawili wakazi wa eneo la Turkwel katika kaunti ya Pokot magharibi wanauguza majeraha ya risasi katika hospitali ya Kapenguria baada kuvamiwa na watu wanaokisiwa kutoka kaunti jirani. Tukio hili […]
-
WAMILIKI WA SILAHA HARAMU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WAPEWA MAKATAA YA SIKU SABA KUZISALIMISHA.
Zaidi ya bunduki 60 zimerejeshwa katika oparesheni ya kiusalama ambayo inaendelezwa na maafisa wa usalama maeneo ya mipakani pa kaunti ya Pokot magharibi na kaunti jirani ikiwemo Turkana, Elgeyo Marakwet […]
-
MIKAKATI YAENDELEZWA KUDUMISHA AMANI BAINA YA JAMII ZA POKOT, SEBEI NA KARAMOJONG, UGANDA.
Hali ya utulivu inaendelea kushuhudiwa baina ya jamii za pokot, sebei na karamojong zinazoishi katika taifa jirani la Uganda, kufuatia mikakati ya amani ambayo inaendelea kuwekwa na uongozi wa taifa […]
-
KAUNTI KAME NCHINI ZATARAJIWA KUNUFAIKA NA MIRADI ZAIDI KUTOKA SERIKALI YA USWIZI.
Serikali ya uswizi itaendelea kushirikiana na serikali za kaunti kame nchini kupitia miradi mbali mbali ili kukabili hali ngumu ambayo wakazi hukumbana nayo kutokana na hali ya ukame ambao unashuhudiwa […]
Top News