News
-
SENETA POGHISIO ASHTUMU VIONGOZI WA KISIASA WANAOENDELEZA SIASA CHAFU KAUNTI HII YA POKOT MAGHARIBI
Seneta wa Kaunti hii ya Pokot Magharibi Daktari Samuel Poghisio amegadhabishwa na siasa chafu zinazoendeleshwa na baadhi ya viongozi katika kaunti hii akiwataka kukoma kuendeleza siasa za chuki na kutajataja […]
-
MBUNGE MARK LOMUNOKOL AMEITAKA SERIKALI KUCHUNGUZA MADAI YA KUKAMATWA NA KUULIWA KWA WATU SITA KATIKA ENEO LA CHEMOLINGOT KAUNTI YA BARINGO
Mbunge wa Kacheliba Mark Lomunokol ameitaka serikali kuchunguza madai ya kukamatwa na kuuliwa kwa watu sita katika eneo la Chemolingot kwenye kaunti ya Baringo, mauaji ambayo yanadaiwa kutekelezwa na maafisa […]
-
HISIA KUHUSU MSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA WA 2020 ZAENDELEA KUTOLEWA NA WAKAAZI WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Huku kamati maalum iliyobuniwa kuongoza mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia BBI ikitangaza kujiandaa kuipigia debe BBI kote nchini baada ya mabunge ya kaunti kuidhinisha mswada huo, wakaazi wa kaunti […]
-
SERKALI KUU YATARAJIWA KUKAMILISHA MIRADI ILIYOANZISHA
POKOT MAGHARIBI Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi samwel poghisio ameipongeza serikali kuu kwa miradi ambayo ilianzisha kaunti hii ili kuwanufaisha wakazi.Akizungumza baada ya kukagua miradi mbali mbali, poghisio […]
-
MCHANGANUZI WA KISIASA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AELEZEA MANUFAA YA BBI KWA TAIFA
Idadi ya mabunge ya kaunti hitajika katika kupitisha mswada wa marekebisho ya katiba ikiwa tayari imeafikiwa, wadau mbali mbali wameendelea kukosoa mbinu iliyotumiwa kuhakikisha waakilishi wadi wanapitisha mswada huo.Akizungumza na […]
-
AKINA MAMA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI KUNUFAIKA NA MRADI WA USHANGA
Serikali kuu itashirikiana na serekali ya kaunti hii ya pokot magharibi kuhakikisha kuwa kina mama ambao wanajihusisha na shughuli ya kushona na kuuza ushanga wananufaika na biashara hiyo.Akizungumza wakati wa […]
-
CHAMA CHA KITAIFA CHA WAZAZI KAUNTI YA TRANS NZOIA CHA PONGEZA AGIZO LA WIZARA YA ELIMU KWA WATAHINIWA WA DARASA LA NANE KUTEUWA UPYA SHULE ZA UPILI
Agizo la wizara ya elimu kwa watahiniwa wa darasa la nane kuteuwa upya shule za upili watakazo jiunga nazo kwenye kaunti ndogo, limepokelewa vyema na chama cha kitaifa cha wazazi […]
-
WAKAAZI WA POKOT MAGHARIBI WAMTAKA RAIS UHURU KENYATTA KUMTAJA MWIZI ANAYESEMA YUKO SERIKALINI
Hisia mseto zimeibuka miongoni mwa wakazi wa kaunti hii kuhusiana na tamko la Rais Uhuru Kenyatta ya kusema hatamkabidhi mwizi uongozi wa taifa hili atakapotamatisha hatamu yake.Wakazi hao hasa wanaoumuunga […]
-
WAWAKILISHI WADI WA POKOT MAGHARIBI WAPONGEZWA KWA KUPASISHA MSWADA WA MAREKEBISHO YA KATIBA WA 2020
Mbunge wa Pokot Kusini David Pkosing ameendelea kuwapongeza wawakilishi wadi katika kaunti ya Pokot Magharibi kufuatia hatua yao ya kupitisha mswada wa marekebisho ya katiba ya mwaka elfu mbili ishirini.Akiwalenga […]
-
MWANAKANDARASI ANAYEKARABATI BARABARA KADHAA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI ASHAURIWA KUTEKELEZA MAJUKUMU YAKE KIKAMILIFU
Mwanakandarasi aliyepewa jukumu la kukarabati barabara kadhaa eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot Magharibi ametakiwa kutekeleza kikamilifu majukumu yake.Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto amesema mwanakandarasi huyo amezembea kazini […]
Top News