News
-
WAKAZI NARAMAM WAONYWA DHIDI YA KUTOWAPELEKA WANAO SHULENI.
Wakazi wa eneo la Naramam kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kukumbatia elimu kwa wanao na kuwapeleka shuleni.Ni wito wake naibu wa chifu eneo hilo Julius Korpira ambaye ameonya kuwa […]
-
WAKUU WA SHULE ENEO LA KIPKOMO WAANZISHA MIKAKATI YA KUZUIA MIGOMO SHULENI.
Walimu wakuu katika eneo la kipkomo eneo bunge la Pokot kusini kaunti hii ya Pokot magharibi wameanzisha mikakati ya kuhakikisha kuwa wanakabili visa vya migomo shuleni ambavyo vimepekelea uharibifu wa […]
-
WABUNGE WATAKIWA KUTENGA FEDHA ZA KUFADHILI WANAFUNZI KUTOKA JAMII MASIKINI.
Mwakilishi wadi wa Keiyo ambaye pia ni kinara wa wachache katika bunge la kaunti ya Trans-nzoia Emmanuel Waswa ametaka wabunge wa kitaifa kutenga fedha zaidi katika fedgha za ustawishaji maeneo […]
-
WAKAZI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA KUPANDA GHARAMA YA MAISHA.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali ngumu ya maisha ambayo wanakabiliana nayo.Wakazizungumza mjini Makutano kaunti hii ya Pokot magharibi wakazi hao wamesema kuwa kwa sasa wanakabiliwa na […]
-
TAHADHARI YATOLEWA KWA WANAFUNZI WAKAIDI KAUNTI NDOGO YA KAPENGURIA.
Kamanda wa polisi kaunti ndogo ya Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Julius Kyumbule, amelalamikia ongezeko la migomo shuleni katika siku za hivi karibuni.Kyumbule amesema kuwa katika siku za hivi […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASHUTUMIWA KWA KUKITHIRI UFISADI
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ameendelea kushutumiwa kufuatia madai ya matumizi mabaya ya fedha za umma katika serikali yake.Akizungumza na kituo hiki mwakilishi wadi maalum wa […]
-
WAFANYIKAZI WA UMMA WASHINIKIZA KUPEWA NYONGEZA YA MSHAHARA LICHA YA SRC KUSEMA HAITAWAONGEZA KWA KIPINDI CHA MIAKA MIWILI
Tume ya kutathmini mishahara ya wafanyakazi SRC inaendelea kushutumiwa kutokana na msimamo wake kwamba wafanyakazi wa umma hawataongezewa mishahara katika kipindi cha miaka miwili.Akiongea mjini Kakamega mwenyekiti wa chama cha […]
-
HATUA YA SERIKALI KUFUNGA MAENEO YA IBADA KATIKA KAUNTI 13 YAENDELEA KUKASHIFIWA VIKALI
Hatua ya serikali kufunga kaunti 13 za eneo la Magharibi, Nyanza na Bonde la ufa kutokana na idadi ya maambukizi ya virusi vya corona imeendelea kukashifiwa vikali.Viongozi wa kidini kaunti […]
-
WANAFUNZI WALIOACHIA DARASA LA NANE KUENDELEA NA MASOMO YAO KATIKA CHUO CHA KIUFUNDI CHA KITALAKAPEL
Chuo cha kiufundi cha Kitalakapel katika kaunti hii ya Pokot Magharibi kimeanzisha kozi kwa ajili ya wanafunzi ambao waliachia masomo yao katika darasa la nane.Akizungumza siku moja tu baada ya […]
-
IDARA ZA USAJILI KACHELIBA ZASHUTUMIWA KWA KUWAHANGAISHA WAKAZI.
Mkazi mmoja kutoka Eneo la Kacheliba kaunti hii ya pokot magharibi anatoa wito wa kuingiliwa kati idara husika kwa kile amedai kuhangaishwa na ofisi za chifu na ya usajili vyeti […]
Top News










