News
-
WAFANYIBIASHARA WA KACHELIBA WALALAMIKIA UBOVU WA BARABARA
Wakazi wa eneo la Kacheliba kaunti hii ya Pokot Magharibi wamelalamikia hali mbovu ya barabara ya kutoka Kacheliba hadi Nakuyen.Wakiongozwa na Rhoda Sikamoi, wakazi hao ambao wengi wao ni wafanyibiashara […]
-
‘TUSINYAKUE ARDHI KIMABAVU’ ASEMA MWAKILISHI WADI YA MNAGEI BENJAMIN ARAULE
Mwakilishi wadi ya Mnagei kaunti hii ya Pokot Magharibi Benjamin Araule ameshutumu hatua ya mkazi mmoja eneo la Psigirio katika wadi ya Mnagei kunyakua barabara ya umma anayodai iko katika […]
-
BUNGOMA LIBERATION LATAKA GAVANA WA BUNGOMA KUCHUNGUZWA
Vuguvugu la Bungoma liberation linataka gavana wa kaunti ya Bungoma Wyclife Wangamati kufanyiwa uchunguzi kufuatia matamshi yake kuwa ana damu ya kikundi cha FERA na atawaandama waakilishi wadi wanaopinga mipango […]
-
ARAULE ATAKA KUIMARISHWA BARABARA YA SUNFLOWER HADI UWANJA WA NDEGE
Mwakilishi wadi ya Mnagei eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya Pokot magharibi Benjamin Araule ameahidi kuhakikisha hali ya barabara ya kutoka shule ya Sunflower mjini Makutano hadi kiwanja ndege […]
-
CHANJO DHIDI YA SURUA YATARAJIWA KUTOLEWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Idara ya afya katika kaunti hii ya Pokot magharibi inatarajiwa kuanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Surua au measles kwa watoto wenye chini ya umri wa miaka mitano kuanzia […]
-
KAUNTI YA ELGEYO MARAKWET YAENDELEA KUWEKA MIKAKATI YA KUKABILI UKEKETAJI
Serikali ya kaunti ya Elgeyo Marakwet kwa ushirikiano na shirika la umoja wa mataifa kuhusu idadi ya watu, serikali ya kitaifa na shirika la Marakwet girls foundation, imefanya mashauriano kuhusu […]
-
WANGAMATI ATAKIWA KUOMBA MSAMAHA WAKAZI WA BUNGOMA
Gavana wa kaunti ya Bungoma Wyclife Wangamati ametakiwa kuomba msamaha wakazi wa kaunti hiyo kwa matamshi yake kuwa ana damu ya kikundi cha fera.Kiongozi wa vuguvugu la Bungoma Liberation Zakaria […]
-
MAKUNDI YA WAKULIMA POKOT MAGHARIBI YANUFAIKA NA UFADHILI
Makundi 114 ya ukulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi yamepokea ufadhili wa shilingi milioni 96 kupitia mradi wa climate smart ili kuwafaidi kwenye ukulima wao..Akizungumza na wanahabari katika hafla […]
-
LONYANGAPUO AWAHAKIKISHIA WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI MAENDELEO
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo amewahakikishia wakazi wa kaunti hii kuwa serikali yake imejitolea kuhakikisha inatimiza miradi ya maendeleokwa manufaa ya wakazi.Akizungumza eneo la karenger kaunti […]
-
WANAHARAKATI BUNGOMA WATAKA USHIRIKIANO NA SERIKALI YA KAUNTI
Wanaharakati katika kaunti ya Bungoma wameitaka serikali ya kaunti hiyo kushirikiana na mashirika ya kijamii ili kuimarisha mazingira ya utendakazi na kuboresha huduma kwa umma.Wakiongozwa na Lumumba Wekesa wanaharakati hao […]
Top News