News
-
GAVANA LONYANGAPUO ATETEA UTENDAKAZI WAKE POKOT MAGHARIBI.
Gavana wa kaunti hii ya Pokot magharibi John Lonyangapuo ametetea utendakazi wake tangu alipochaguliwa kuwa gavana wa kaunti hii.Akizungumza katika hafla ya kuzindua pikipiki za sacco ya WEPESA mjini Makutano, […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUWEKA MIKAKATI KUKABILI BAA LA NJAA POKOT MAGHARIBI
Miito imeendelea kutolewa kwa serikali kuweka mikakati ya kuwasaidia wakazi wa maeneo mbali mbali ya kaunti hii ya Pokot magharibi kutokana na makali ya baa la njaa ambalo linawakodolea macho.Wakiongozwa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUIMARISHA MSAKO DHIDI YA CAROLYNE KANGOGO.
Serikali imetakiwa kufanya juhudi zaidi za kumnasa afisa wa polisi mtoro Carolyne Kangogo ili kuwahakikishia wakenya usalama wao.Baadhi ya wakazi mjini makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameelezea kusikitishwa […]
-
KAUNTI YA TRANS NZOIA KUPOTEZA ASILIMIA 30 YA NAFAKA MWAKA HUU.
Huenda kaunti ya Trans nzoia ikapoteza asilimia 30 ya nafaka mwaka huu kutokana na upungufu wa mvua ambayo imeshuhudiwa mwanzoni mwa mwaka huu.Haya ni kwa mujibu wa mshauri mkuu wa […]
-
MKUTANO WA AMANI BONDE LA KERIO WAANDALIWA TOT.
Viongozi kutoka kaunti tatu za kaskazini mwa bonde la ufa ikiwemo kaunti hii ya Pokot magharibi, Elgeyo marakwet na Baringo wameelezea imani kuwa juhudi za kurejesha amani eneo hili kutokana […]
-
WAKULIMA TURKWEL WANUFAIKA NA MIZINGA.
Shirika la safer kwa ushirikiano na mashirika mengine matano ikiwemo lile la NRT limetoa mizinga pamoja na vifaa vingine vitakavyotumika kuvuna asali kwa wakulima wa asali eneo la Turkwel katika […]
-
CHIFU WA KASITEI ATETEA SHIRIKA LA NRT POKOT MAGHARIBI.
Naibu chifu wa eneo la Kasitei eneo la Turkwel katika kaunti hii ya Pokot magharibi Joseph Psiwa ametetea vikali shirika Northern Rangelands Trust NRT dhidi ya shutuma mbazo zimekuwa zikielekezwa […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUGATUA UTOAJI FEDHA KWA WAZEE.
Mwakilishi wadi mteule ambaye pia ni kaimu kinara wa kiongozi wa wachache katika bunge la kaunti ya Trans-nzoia Magret Sabina Wanjala amepongeza serikali kuu kupitia kwa wizara ya jinsia kwa […]
-
SIASA ZAPIGWA MARUFUKU KATIKA HAFLA ZA MAZISHI KIMAETI BUNGOMA.
Chifu wa kata ya Kimaeti eneo bunge Bumula kaunti ya Bungoma Siafu Fwamba amepiga marufuku wanasiasa kupewa nafasi ya kuzungumza katika hafla za mazishi katika kata yake .Fwamba amesema kuwa […]
-
‘TAREHE YA UCHAGUZI HAITOBADILISHWA’ ASEMA SING’OEI.
Mshauri mkuu wa kisheria katika afisi ya naibu wa rais dkt abraham singoei, amekosoa vikali matamshi ya baadhi ya viongozi nchini ya kutaka kubadilishwa kwa tarehe ya uchaguzi mkuu wa […]
Top News









