News
-
WAKAZI KATIKOMOR WALALAMIKIA KUTELEKEZWA KWA MASWALA YA MAENDELEO
Wakazi wa eneo la Katikomor kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia kutelekezwa eneo hilo kwa maswala ya maendeleo hasa miundo mbinu katika shule za eneo hilo.Wakiongozwa na Cyrus Katikomor wakazi […]
-
WAAKILISHI WADI BUNGOMA WATAKIWA KUSITISHA MIPANGO YA KUMBANDUA GAVANA WANGAMATI
Viongozi wa dini katika kaunti ya Bungoma wametoa wito kwa waakilishi wadi katika kaunti hiyo kufanya mazungumzo na gavana wao Wyclife Wangamati ili kutatua uhasama uliopo kuhusu mchakato wa kuataka […]
-
WAKAZI MAKUTANO WAACHWA VINYWA WAZI HUKU MKAZI MMOJA AKIFANYA HARUSI NA ‘MUNGU’
Wakazi mjini makutano kaunti hii ya Pokot magharibi waliachwa na mshangao baada ya mama mmoja kutoka eneo la Kalorema kujifanyia harusi mwenyewe katika bustani ya Chelang’a mjini Makutano kwa madai […]
-
SHULE YA TABADAN ACADEMY YASIFIWA KWA KUWAHUDUMIA WAATHIRIWA WA DHULUMA ZA JINSIA
Wazazi wametakiwa kutowaondoa wanao katika shule ya msingi ya Tabadan academy iliyoko eneo la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi na badala yake kuhakikisha wanafunzi zaidi wanajiunga na shule hiyo. […]
-
IDARA ZA UCHUNGUZI ZATAKIWA KUCHUNGUZA KUPORWA FEDHA ZA CHAM CHA USHIRIKA KACHELIBA
Wanachama wa chama kimoja cha ushirika eneo la Kacheliba katika kaunti hii ya Pokot magharibi wanalilia haki baada ya kuporwa fedha zao na wanaodaiwa kuwa viongozi wa chama hicho wakitaka […]
-
FAMILIA YAOMBOLEZA KIFO CHA POLISI WA UTAWALA KISHAUNET
Familia moja eneo la Kishaunet kaunti hii ya Pokot magharibi inaendelea kuomboleza kifo cha mmoja wao Clement Mnang’at ambaye alikuwa mmoja wa polisi wa utawala waliouliwa majuzi kaunti ya Mandera, […]
-
UAMUZI WA KUTUPILIA MBALI MCHAKATO WA BBI WAENDEELA KUPONGEZWA
Uamuzi wa majaji watano wa mahakama kuu walioharamisha mchakato wa kuifanyia katiba marekebisho kupitia mswada wa BBI umeendelea kupongezwa wa hivi punde wakiwa ni viongozi kutoka kaunti ya Baringo. Wakiongozwa […]
-
SERIKALI YA UASIN GUSHU KUKUSANYA SHILINGI BILIONI 1.5 KABLA YA MWAKA WA KIFEDHA KUTAMATIKA
Serikali ya kaunti ya Uasin Gishu imesema kuwa inalenga kukusanya takriban shilingi bilioni 1.5 mapato yanayotokana na ulipaji ushuru kabla ya kutamatika kipindi cha kifedha cha mwaka 2021 – 2022. […]
-
WAKAAZI WA VIHIGA WATISHIA KUVUNJA SERIKALI YA KAUNTI HIYO
Baadhi ya wakaazi katika kaunti ya Vihiga wameanzisha mchakato wa kukusanya saini ili kufanikisha kuvunjwa kwa serikali ya kaunti hiyo. Kulingana na wakaazi hao ni kwamba serkali ya kaunti hiyo […]
-
JAMII ZA POKOT NA KARAMOJA KUHAMASISHWA UMUHIMU WA KUISHI KWA AMANI
Uongozi mpya wa wilaya ya Amudat katika mpakani pa kaunti hii ya Pokot Magharibi na taifa jirani la Uganda umeapa kuendeleza uhamasisho miongoni mwa jamii za eneo hilo ambazo ni […]
Top News