News
-
WATOTO WA KIKE KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WASHAURIWA KUJITUNZA
Wito umetolewa kwa watoto wa kike kaunti hii ya Pokot Magharibi kujitunza na kutojihusisha na maswala ambayo yatawapelekea kupachikwa mimba za mapema na kuathiri masomo yao.Ni wito ambao umetolewa na […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA TRANS NZOIA YATARAJIWA KUSAMBAZA NETI KWA WAKAZI.
Serikali ya kaunti ya Trans nzoia kupitia wizara ya afya inaendeleza uhamasisho kwa wadau katika maandalizi ya zoezi la kutoa neti kwa wakazi katika juhudi za kupunguza maradhi ya malaria […]
-
WADAU WATAKIWA KUCHANGIA JUHUDI ZA KUHAKIKISHA NIDHAMU MIONGONI MWA WANAFUNZI.
Wadau mbali mbali katika kaunti ya Pokot magharibi wametakiwa kuchangia juhudi za kuhakikisha nidhamu inadumishwa miongoni mwa vijana hasa wanafunzi.Ni wito wake mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wavulana […]
-
WAKAZI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUZINGATIA UPANZI WA MITI.
Wito umetolewa kwa wakazi katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuzingatia zaidi upanzi wa miti ili kutunza mazingira mbali na manufaa mengine mengi ambayo yantokana na miti.Ni wito wake waziri […]
-
KANISA LA FULL GOSPEL LAJITENGA NA MAMA ALIYEJIFANYIA HARUSI CHELANG’A.
Siku chache tu baada ya mama mmoja kutoka eneo la Kalorema kujifanyia harusi mwenyewe katika bustani ya Chelang’a mjini Makutano kwa madai aliagizwa kufanya hivyo na mwenyezi Mungu, kanisa la […]
-
MBUNGE WA SIRISIA NA MWAKILISHI WADI YA LWANDANYI WATAKIWA KUSULUHISHA TOFAUTI ZAO.
Mbunge wa Siria katika kaunti ya Bungoma John Waluke na mwakilishi wadi ya Lwandanyi Tony Baraza wametakiwa kuzika tofauti zao za kisiasa na kutekeleza maendeleo.Wakizungumza mjini Lwandanyi wakiongozwa na Mourice […]
-
WAFANYIBIASHARA KONGELAI WALALAMIKIA HALI MBOVU YA SOKO HILO.
Wafanyibiashara katika soko la Kongelai eneo la Kacheliba kaunti hii ya Pokot magharibi wamelalamikia hali mbovu ya soko hilo huku wakitoa wito kwa serikali ya kaunti hii kuboresha hali ya […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZIMESALIA CHANGAMOTO POKOT MAGHARIBI.
Swala la mimba za mapemamiongoni mwa wanafunzi limesalia changamoto katika kaunti hii ya Pokot magharibi.Haya ni kulingana na mwalimu mkuu wa shule ya upili ya wasichana ya St Bakhita Grace […]
-
NG’OLESIA AKANA MADAI KUWA ATAGOMBEA KITI CHA UBUNGE SIGOR.
Mwakilishi wadi ya Seker kaunti hii ya Pokot magharibi Thomus Ng’olesia amekana madai kuwa ananuia kugombea kiti cha ubunge katika eneo bunge la Sigor kwenye uchaguzi mkuu ujao.Akizungumza na kituo […]
-
SERIKALI YASHUTUMIWA KWA KUWAFURUSHA WAKAZI KATIKA ARDHI YA CHEPCHOINA.
Baadhi ya wakazi katika ardhi yenye utata ya Chepchoina katika mpaka wa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti ya Trans nzoia waliofurushwa katika ardhi hiyo wameendelea kulalamikia masaibu wanayopitia […]
Top News