News
-
WAHUDUMU WA BODA BODA WATAKIWA KUWA MAKINI DHIDI YA WIZI WA PIKIPIKI.
Vijana katika kaunti hii ya Pokot magharibi wanaonunua pikipiki na kujiunga na sekta ya boda boda wametakiwa kuwa waangalifu na kuchukua tahadhari dhidi ya wizi wa pikipiki ambao umeripotiwa kuongezeka […]
-
NRT YAENDELEZA MAFUNZO KWA WAKULIMA POKOT MAGHARIBI.
Shirika la SEFA chini ya Northern Rangelands Trust NRT limeendelea kutoa mafunzo kwa wakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi kuhusu kilimo bora.Afisa katika shirika hilo Beatrice Hadeny amesema kuwa […]
-
KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI YAPOKEZWA DAWA ZA KIMA CHA SHILINGI M 44.6.
Ni afueni kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi baada ya serikali ya kaunti hii kupokea dawa za kima cha shilingi milioni 44.6 kutoka kwa mamlaka ya kusambaza dawa […]
-
TRANS NZOIA YAPOKEA DAWA ZA KIMA CHA SHILINGI M 54.7 KUTOKA KEMSA.
Ni afueni kwa wenyeji wa Kaunti ya Trans Nzoia baada ya kaunti hiyo kupokea dawa za kima cha shilingi Milioni 54.7 kutoka mamlaka ya usambazaji dawa na vifaa vya matibabu […]
-
WAFANYIBIASHARA KONYAO WALALAMIKIA KUATHIRIWA NA WENZAO KUTOKA UGANDA.
Wafanyibiashara wa viazi kwenye soko la Konyao katika kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia kuharibika bei ya bidhaa hiyo hali wanayoihusisha na viazi kutoka nchini Uganda.Wakiongozwa Rosana kashior wafanyibiashara hao […]
-
JAMII YA SENGWER YAAPA KUMSIMAMISHA GAVANA 2022.
Jamii ya Sengwer katika kaunti hii ya Pokot magharibi imelalamikia pakubwa kutengwa kwa muda mrefu katika siasa za kaunti hii licha ya kuwepo idadi kubwa ya watu wa jamii hiyo […]
-
WITO WA AMANI WASISITIZWA TAIFA LINAPOELEKEA KWENYE UCHAGUZI MKUU.
Wakazi wa kaunti hii ya pokot magharibi wametakiwa kudumisha amani hasa wakati huu ambapo taifa linaeleka katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao.Ni wito wake Mbunge wa Kapenguria Samwel Moroto ambaye […]
-
WAKAZI WA BUNGOMA WATAKIWA KUUNGA MKONO UDA.
Mbunge wa sirisia katika kaunti ya Bungoma John Waluke ametoa wito kwa viongozi na wananchi katika kaunti hiyo kujiunga na chama cha UDA kinachohusishwa na naibu rais William Ruto.Akizungumza katika […]
-
MALUMBANO YA UONGOZI FORD KENYA YAATHIRI MAENDELEO TRANS NZOIA NA BUNGOMA.
Kaunti za Trans nzoia na Bungoma hazijakuwa zikifanya vyema kutokana na malumbano ya uongozi katika chama cha Ford Kenya ambapo magavana wote wawili Patrick khaemba na wyclife wangamati wamechaguliwa kwa […]
-
WAKAZI WA SIYOI WAHIMIZWA KUWEKEZA ZAIDI KATIKA KILIMO.
Wakazi wa eneo la siyoi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kutia juhudi katika shughuli zao za ukulima ili kuimarika zaidi kiuchumi.Ni wito wake afisa mkuu katika wizara ya […]
Top News










