News
-
VIONGOZI WATAKIWA KUZINGATIA UMOJA BAADA YA BBI.
Baada ya mahakama ya rufaa kusitisha mchakato mzima wa BBI Viongozi nchini wametakiwa kuzingatia umoja wa kitaifa huku uchaguzi mkuu wa mwaka ujao ukikaribia.Rais wa bunge la vijana nchini ambaye […]
-
‘KUTUPILIWA MBALI BBI KUNAFAA KUWA FUNZO KWA VIONGOZI WA POKOT MAGHARIBI.’ MOROTO.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa viongozi kufuatia hatua ya mahakama ya rufaa kudumisha uamuzi wa mahakama kuu wa kutupilia mbali mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango wa BBI.Mbunge […]
-
KUPPET YALALAMIKIA UPUNGUFU WA WALIMU POKOT MAGHARIBI.
Tume ya huduma za walimu TSC imetakiwa kuangazia kwa ukamilifu swala la uhaba wa walimu katika shule za kaunti hii ya Pokot magharibi wakati ambapo serikali inatekeleza sera ya kuhakikisha […]
-
WAKULIMA SIYOI WAFUNZWA UMUHIMU WA KILIMO HAI.
Wakulima katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kunufaika na mafunzo kutoka mashirika mbali mbali kuhusu mbinu za kilimo katika juhudi za kuhakikisha wanazingatia kilimo bora na kukabili baa la […]
-
MWANAFUNZI AOKOLEWA KUTOKA NDOA YA MAPEMA MTELO POKOT YA KATI.
Chifu wa eneo la seker kwa ushirikiano na naibu chifu wa mbara na chepkondol katika kaunti ndogo ya pokot ya kati kaunti hii ya pokot magharibi wamemwokoa mwanafunzi mmoja wa […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUKUMBATIA UAMUZI WA MAHAKAMA KUHUSU BBI.
Mahakama ya rufaa ikitarajiwa leo kutoa uamuzi kuhusu mchakato wa kufanyia katiba marekebisho kupitia mpango wa BBI miito imeendelea kutolewa kwa viongozi wa kisiasa kukubali matokeo ya kesi hiyo.Wakiongozwa na […]
-
MIUNDO MSINGI DUNI YATATIZA 100% YA WANAFUNZI KUJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA.
Huenda sera ya serikali kuhakikisha asilimia 100 ya wanafunzi wanaofanya mtihani wa kitaifa kwa darasa la nane KCPE wanajiunga na kidato cha kwanza ikakosa kuafikiwa kikamilifu.Haya ni kwa mujibu wa […]
-
MACHIFU TRANS NZOIA WATAKIWA KUKABILI POMBE HARAMU.
Machifu katika maeneo mbali mbali ya kaunti ya Trans nzoia wametakiwa kushirikiana na wadau wengine katika idara ya usalama kaunti hiyo kuhakikisha kuwa ugemaji wa pombe haramu pamoja na utumizi […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUONDOA SIASA KATIKA MIRADI YA SERIKALI.
Wito umetolewa kwa viongozi wa siasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi kukoma kuingiza siasa katika miradi ya serikali kwenye taasisi za umma ikiwemo vituo vya afya pamoja na taasisi […]
-
VIONGOZI TRANS NZOIA WASHUTUMU KUFURUSHWA MASKWATA KATIKA ARDHI YA ADC.
Viongozi kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wameitaka serikali kupitia wizara ya kilimo kuangazia upya kufurushwa kwa maskwata katika ardhi moja inayodaiwa kumilikiwa na shirika la ustawishaji Kilimo nchini ADC.Wakihutubu eneo […]
Top News










