News
-
CHAMA CHA UDA CHATAKIWA KUZINGATIA UWAZI KATIKA MCHUJO ELGEYO MARAKWET.
Wawaniaji wa viti mbalimbali katika kaunti ya Elgeyo marakwet kupitia chama cha UDA wamewataka wasimamizi wa uteuzi ulioratibiwa kufanyika siku ya alhamisi wiki hii kuhakikisha panakuwa na uwazi katika shughuli […]
-
BAJETI YA YATTANI YAKOSOLEWA NA MASHIRIKA YA KIJAMII
Mashirika ya kutetea haki za kibinadumu Kaunti ya Trans Nzoia yamekosoa bajeti iliyosomwa na waziri wa fedha Ukur Yatani wakisema bajeti hiyo imekosa kuangazia matakwa ya wakenya wengi.Wakiongozwa na Kefa […]
-
BARAZA LA WANAHABARI LAKUTANA NA WANAHABARI POKOT MAGHARIBI KUHUSU UCHAGUZI MKUU UJAO.
Baraza la wanahabari nchini limeandaa kikao na wanahabari wa kaunti hii ya pokot magharibi kuhusu utendakazi wao msimu huu wa siasa za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti.Akizungumza baada ya kikao […]
-
WASIWASI WAKUMBA WAKULIMA TRANS NZOIA KUFUATIA KURIPOTIWA VIWAVI JESHI.
Wizara ya kilimo Kaunti ya Trans Nzoia imetangaza kuzuka kwa viwavi jeshi aina ya African fall army worm ambao wameripotiwa na wakulima maeneo mbalimbali Kaunti hiyo wakibainika kuwa hatari ikilinganishwa […]
-
KAMUREN ATIA SAINI MKATABA NA WASOMI BARINGO KUSINI KATIKA JUHUDI ZA KUPIGA JEKI AZMA YAKE KUHIFADHI KITI CHA UBUNGE ENEO HILO.
Mbunge wa Baringo kusini kwenye kaunti ya Baringo Charles Kamuren ameahidi kwamba uongozi wake utazingatia utoaji wa huduma kwa wakazi iwapo atachaguliwa afisini kwa mara ya pili katika uchaguzi wa […]
-
VIJANA WATAKIWA KUJIUNGA NA VYUO ANUWAI ILI KUPATA UJUZI WA KUJIAJIRI.
Mwakilishi wadi ya Statunga eneo bunge la Cherangani Kaunti ya Trans Dkt Daniel Kaburu amewahimiza vijana waliokamilisha masomo ya shule za upili na wale waliokosa karo ya kuendeleza masomo yao […]
-
TOFAUTI ZAENDELEA KUSHUHUDIWA BAINA YA GAVANA NA NAIBU GAVANA POKOT MAGHARIBI.
Naibu gavana kaunti hii ya Pokot magharibi Nicholas Atudonyang amemsuta vikali gavana John Lonyangapuo kwa kile amedai kuendeleza wizi wa fedha za umma huku wakazi wa kaunti hii wakihangaika kwa […]
-
CHAMA CHA KANU POKOT MAGHARIBI CHAPUUZILIA MBALI UWEPO WA MIGAWANYIKO MIONGONI MWA WAGOMBEA.
Seneta wa kaunti hii ya Pokot magharibi Samwel Poghisio amepuuzilia mbali madai ya kuwepo migawanyiko miongoni mwa baadhi ya wagombea viti vya kisiasa kupitia chama cha KANU katika kaunti hii.Akizungumza […]
-
MBUNGE WA SABAOTI ASUTWA KWA KULIPAKA TOPE JINA LA SENETA WA TRANSNZOIA
Seneta wa kaunti ya Trans nzoia Michael Mbito amemsuta mbunge wa Saboti Caleb Amisi kwa madai ya kulipaka tope jina lake badala ya kutangaza sera kwa wapiga kura.Mbito ambaye pia […]
-
MKUTANO WA CHAMA CHA KANU WAHAIRISHWA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Chama cha KANU kimetangaza kuahirisha mkutano wa chama hicho uliokuwa umeratibiwa kuandaliwa kesho ijumaa katika kaunti hii ya Pokot magharibi hadi siku ambayo itatangazwa baadaye baada ya kusuluhishwa tatizo la […]
Top News










