Author: Charles Adika
-
WASHIKA DAU KATIKA WIZARA YA MIPANGILIO YA SERIKALI WAZURU KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Washikadau katika wizara ya mipangilio ya serikali hiyo jana wamezuru kaunti ya Pokot Magharibi kwa lengo la kuangazia na kuweka wazi ripoti inayohusu maswala ya kiuchumi, democrasia, maendeleo ya jamii […]
-
VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA VYAKITHIRI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Visa vya mimba za mapema miongoni mwa wasichana katika kaunti ya Pokot Magharibi vinazidi kuongezeka kila kuchao huku mashirika mbalimbali yakiingilia kati suala hilo zima katika kuwahimiza wazazi kukaa karibu […]
-
-
-
-
SHILINGI MIA SITA YASABABISHA MUME KUMUA MKEWE
KAKAMEGA Mwanamme mwenye umri wa miaka 60 anazuiliwa na maafisa wa polisi katika eneo bunge la Shinyalu kwenye kaunti ya Kakamega kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka […]
-
Maimamu wapinga hatua ya mkuu wa DCI George Kinoti
Baraza la maimamu katika kaunti ya Uasin Gishu limeeleza kusikitishwa na hatua anayotaka kuchukua kiongozi wa idara ya upelelezi DCI George Kinoti kuchunguza kesi za ghasia za baada ya uchaguzi […]
-
-
-
Top News