Author: Charles Adika
-
VISA VYA MIMBA ZA MAPEMA VYAKITHIRI KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Visa vya mimba za mapema miongoni mwa wasichana katika kaunti ya Pokot Magharibi vinazidi kuongezeka kila kuchao huku mashirika mbalimbali yakiingilia kati suala hilo zima katika kuwahimiza wazazi kukaa karibu […]
-
-
-
-
SHILINGI MIA SITA YASABABISHA MUME KUMUA MKEWE
KAKAMEGA Mwanamme mwenye umri wa miaka 60 anazuiliwa na maafisa wa polisi katika eneo bunge la Shinyalu kwenye kaunti ya Kakamega kwa tuhuma za kumuua mkewe mwenye umri wa miaka […]
-
Maimamu wapinga hatua ya mkuu wa DCI George Kinoti
Baraza la maimamu katika kaunti ya Uasin Gishu limeeleza kusikitishwa na hatua anayotaka kuchukua kiongozi wa idara ya upelelezi DCI George Kinoti kuchunguza kesi za ghasia za baada ya uchaguzi […]
-
-
-
-
WITO WA MBUNGE WA MUMIAS MASHARIKI BENJAMIN WASHIALI
MUMIAS MASHARIKI Huku idadi kubwa ya wakenya wakiwemo wahudumu wa afya wakiendelea kuripotiwa kufariki kutokana na ugonjwa wa corona mbunge wa Mumias Mashariki Benjamin Washiali amewataka wenyeji wa eneo hilo […]
Top News