Author: Charles Adika
-
WENYEJI WA KIJIJI CHA KOMOL KAUNTI YA POKOT WATAKA HUDUMA ZA MATIBABU KUIMARISHWA
Wito umetolewa kwa Mwakilishi wadi ya Kapenguria na Serikali ya kaunti ya Pokot Magharibi kuimarisha huduma za matibabu na miundo msingi katika zahanati ya Komol iliyo katika hali mbaya.Wakiongozwa na […]
-
USALAMA WA IMARISHWA KATIKA ENEO BUNGE LA POKOT MAGHARIBI MSIMU HUU WA KRISIMASI
Usalama katika kaunti ya Pokot Magharibi umeimarishwa msimu huu wa sherehe za Krismasi na mwaka mpya.Akithibitisha haya Kamanda wa Polisi kaunti hii Julius Kyumbule amesema kuwa wameongeza Maafisa wa polisi […]
-
SHARTI LA KUTOKUWA NJE LAOMBWA KUONDOLEWA NA VIONGOZI WA KIDINI
Viongozi wa kidini kwenye kaunti ya Uasin Gishu wameiomba serikali kuondoa sharti la kutokuwa nje kuanzia saa nne usiku hadi saa kumi alfajiri wakati wa sherehe za mwaka mpyaWakiongozwa na […]
-
SERIKALI YA BARINGO KUBUNI MAHAKAMA YAKE.
Serikali ya kaunti ya Baringo imetangaza mikakati ya kubuni mahakama yake ya kaunti hiyo itakayosikiliza kesi mbalimbali zikiwemo za wanaokwepa kulipa ushuru.Gavana Starnely Kiptis amesema mahakama hiyo itaanza kuhudumu mwakani […]
-
WAHUDUMU WA AFYA TRANSNZOIA WAAGIZWA KUREJEA KAZINI AU WAFUTWE
Hatima ya wahudumu wa afya wanaogoma katika kaunti ya Transnzoia haijulikani kufuatia barua iliyoandikwa na uongozi wa kaunty hiyo wa kuwataka kusitisha mgomo huo mara moja la sivyo nafasi zao […]
-
GAVANA WA KAKAMEGA AMTAJA MRIDHI WAKE MWAKA WA 2022
Huku siasa za uridhi wa kiti cha ugavana wa Kakamega zikionekana kungo’a nanga gavana wa kaunti hiyo dkt. Wycliffe oparanya amemtaka naibu wake prof. Philip kutima kutima kuanza kutafuta umaarufu […]
-
SENETA WA POKOT MAGHARIBI AWAHIMIZA WENYEJI KUDUMISHA AMANI MSIMU HUU WA KRISIMASI
Wenyeji wa kaunty ya pokot magharibi wanaoishi mpakani mwa kaunty jirani ikiwemo turkana baringo na elgeyo marakwet wametakiwa msimu huu wa krisimasi kudumisha amaniNdio kauli yake seneta wa kaunty hii […]
-
MWANAMME MMOJA AMWIBA MBUZI WA JIRANI NA KUMCHINJA ITEN
ELGEYO MARAKWET Mahakama ya Iten imemwamuru mwanamme mmoja katika eneo hilo kulipa shilingi alfu tatu ama kusalia korokoroni kwa muda wa mwaka mmoja baada ya kupatikana na mbuzi wa wizi.Mahakama […]
-
WATEMBELEA WASICHANA WALIOKWEPA UKEKETAJI NA NDOA ZA MAPEMA ORTUM
POKOT MAGHARIBI Kampuni ya nguvu za umeme KPLC tawi la bonde la ufa kwa ushirikiano na washikadau wengine pamoja na wahandisi wamewatembelea wanafunzi wa shule ya msingi ya wasichana ya […]
-
HAKUNA NAFASI KWA WAHUDUMU WA AFYA WANAOGOMA
BUSIA Gavana wa kaunti ya Busia Sospeter Ojamong amesema kuwa hakuna nafasi kwa wahudumu wa afya wanaohusisha madaktari na wauguzi wanaoshiriki mgomo kwenye kaunit ya Busia.Akizungumza kwenye mkutano wa wasomi […]
Top News