Author: Charles Adika
-
MALI YENYE DHAMANI ISIYOJULIKANA YAHARIBIWA BAADA YA BWENI KUTEKETEA
Mali yenye dhamani isiyojulikana imeteketea usiku wa kuamkia leo katika shule ya upili ya Kitur kaunti ya Baringo baada ya moto mkubwa kuteketeza bweni moja la shule hiyo.Maafisa wa usalama […]
-
SERIKALI YASHAURIWA KUWASHIRIKISHA WENYEJI KUWATAMBUA WAHALIFU KAPEDO
Mshirikishi wa masuala ya amani katika shirika la SIKOM Peter Sikamoi ameitaka serikali ya kitaifa kuwashirikisha washikadau wote katika kuwatambua wahalifu wanaoishi miongoni mwa wanajamii.Akirejelea oparesheni inayoendeshwa katika Eneo bunge […]
-
TESTESI KUU ZA SOKA ULAYA
Mkufunzi wa Arsenal Mikel Arteta amesema kwamba klabu yake inahitaji kumsajili beki mwengine wa ubavu wa kushoto atakayemsaidia beki wa sasa wa nafasi hiyo kieran tierney. Maneja huyo wa the […]
-
MWANAMME AJITIA KITANZI BAADA YA KUBAINI KUWA ATAWEKEWA CHUMA KWENYE MGUU WAKE
Uchunguzi umeanzishwa kubaini kifo cha mwanamme mwenye umri wa miaka 38 ambaye mwili wake umepatikana nyumbani kwake katika kijiji cha Bulusu eneobunge la Shinyalu kaunti ya Kakamega.Mwanamme huyo alijitia kitanzi […]
-
WAUGUZI KAUNTI YA BUNGOMA HATIMAYE WASITISHA MGOMO WAO
Wauguzi katika kaunti ya Bungoma ambao wamekuwa kwenye mgomo kwa siku 48 wamesitisha mgomo wao baada ya kuafikiana na serikali ya kaunti hiyo kukusu matakwa yao.Wauguzi hao wamesitisha mgomo wao […]
-
AFISA WENGINE WAWILI WAMERIPOTIWA KUFARIKI KATIKA ENEO LA KAPEDO
Mkuu mwingine wa polisi na dereva wake wamethibitishwa kuuawa baada ya kupigwa risasi na washukiwa wa ujambazi katika eneo la jana jioni.Mshirikishi wa utawala katika eneo la bonde la ufa […]
-
LAMPARD CHINI YA PRESHA KUBWA
Mnoaji wa chelsea muimgereza frank lampard amekiri kwamba anakabiliwa na presha kali pale stamford brige kutokana na misururu ya matokeo duni walioandikissha vijana wake katika mechi zao za hivi majuzi.Kipigo […]
-
OLUNGA KUPIGA KIPUTE CHA FIFA WORLD CLUB
Mshambuliaji wa timu ya taifa ya soka harambee satars michael olunga amepata fursa ya kushiriki katika kipute cha klabu bingwa duniani maarufu kama fifa world club makala ya ya mwaka […]
-
SERIKALI YALAUMIWA KWA KUCHOCHEA MAPIGANO YANAYOSHUHUDIWA KAPEDO
Viongozi wa kisisasa katika kaunti hii ya Pokot Magharibi wamesema kuwa serikali ndio inachochea mapigano katika eneo la Kapedo.Wakizungumzia hatua ilizochukua wizara ya usalama kuwaandama magaidi waliowauwa maafisa wa usalama […]
-
MAAFISA WA NOC-K NA AK WAWATEMBELEA WANARIADHA KAPTAGAT
Maafisa wa kamati ya olimpiki humu nchini NOC-K pamoja na maafisa wa shirikisho la riadha nchini AK-atheletic Kenya wamezuru kambi ya mazoezi ya wanariadha ya Global Sports Communication kule Kaptagat […]
Top News