Author: Charles Adika
-
-
-
-
WAKULIMA WALALAMIKIA ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA
Hisia kali zimeendelea kutolewa nchini kufuatia tangazo la mamlaka ya kudhibiti bei ya mafuta na kawi nchini EPRA la kuongeza bei ya mafuta.Kulingana na wakulima katika kaunti ya Trans Nzoia […]
-
MTU MMOJA AFARIKI HUKU SITA WAKIJERUHIWA KATIKA AJALI YA KARAS KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI
Mtu mmoja amethibitishwa kuiaga dunia baada ya kuhusika kwenye ajali iliyohusisha pikipiki mbili jana usiku eneo la Karas kaunti hii ya Pokot Magharibi.Akithibitisha hayo daktari katika hospitali ya Kapenguria Jacob […]
-
HALI YAZIDI KUWA TETE KATIKA HOSPITALI YA KAPENGURIA
Serikali ya kaunti hii ya Pokot Magharibi imeendelea kushutumiwa kwa kuitelekeza hospitali ya Kapenguria.Seneta wa kaunti hii Samwel Poghisio amesema hospitali hiyo inakabiliwa na upungufu mkubwa wa vifaa muhimu vinavyopasa […]
-
WAKENYA WASHAURIWA KUZINGATIA MASHARTI YA KUZUIA MAAMBUKIZI ZAIDI YA VIRUSI VYA CORONA
Seneta wa kaunti hii ya Pokot Magharibi Dkt Samwel Poghisio amewataka wakazi wa kaunti hii kuendelea kuzingatia masharti yaliyowekwa na serikali kwa ushirikiano na wizara ya afya ili kukabili maambukizi […]
-
PILKA PILKA
Ungana na Lilian Manyura pamoja na Marango Kizito Macho Je waskiza kutoka wapi…?
-
MPIGO WA KALYA RADIO
Amka nasi twende pamoja, leo Alfamash akiwa ndani ya Mpigo wa Kalya
-
IBADA YA JUMAPILI
Start your Sunday mood with your favorite host Evangelist Lilian Manyura
Top News