Author: Charles Adika
-
OPARANYA ATAKIWA KUIMARISHA HALI YA HOSPITALI YA WILAYA YA MATUNGU
Mbunge wa Matungu kaunti ya Kakamega Oscar Nabulindo amelalamikia huduma duni zinazotolewa katika hospitali ya wilaya ya Matungu akiilaumu serikali ya kaunti ya Kakamega kwa kuitelekeza hospitali hiyo. Nabulindo amesema […]
-
SERIKALI YA KAUNTI YA TRANS NZOIA YAANZISHA MPANGO WA KUTOA MATIBABU YA SARATANI YA UZAZI
Serikali ya Kaunti ya Trans-Nzoia Kupitia kwa wizara ya afya imezindua mpango maalum wa kutoa matibabu ya Saratani ya uzazi kwa akina mama walio kwenye umri wa uzazi na kutoa […]
-
NATEMBEYA AONA MASHIRIKA YA MISAADA DHIDI YA KUINGIA TIATI KAUNTI YA BARINGO
Mshirikishi wa usalama kanda ya bonde la ufa George Natembeya amesema hakuna mashirika ya kutoa misaada ya kiutu yatakayoruhusiwa kuingia eneo la Tiati katika kaunti ya Baringo bila kibali.Natembeya amesema […]
-
ONYO KALI YATOLEWA DHIDI YA UKEKETAJI KACHELIBA
Naibu kamishana wa eneo la Kacheliba kaunti ya Pokot Magharibi David Mugutsu amewaonya vikali watu walio na nia ya kuwakeketa na kuwaoza wasichana mapema hasa wanafunzi wakati huu wa likizo. […]
-
-
-
WAHUDUMU WA BODA BODA WANAOSHIRIKIANA NA WEZI WAONYWA MALAVA KAKAMEGA
Onyo kali imetolewa kwa wahudumu wa boda boda ambao watashirikiana na wahalifu kutekeleza visa vya kihalifu nyakati za usiku eneo la Malava kaunti ya Kakamega kwamba watakabiliwa ipasavyo.Ni onyo ambalo […]
-
POLISI BUNGOMA WALAUMIWA KWA UTEPETEVU HUKU UTOVU WA USALAMA UKIZIDI KUSHUHUDIWA
Viongozi katika kaunti ya Bungoma wamekashifu vikali kisa ambapo mwanamme mmoja mlemavu aliuliwa na mkewe ambaye alikuwa mjamzito kubakwa eneo la Teremi katika eneo bunge la Kabuchai.Mbunge wa Kabuchai Majimbo […]
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASUTWA KWA KUTELEKEZA HOSPITALI YA KAPENGURIA
.Mwakilishi wadi maalum katika bunge la kaunti hii ya Pokot magharibi Elijah Kasheusheu ameendelea kuibua maswali kuhusu hali ya hospitali ya kapenguria.Kasheusheu sasa amewasilisha ombi kwa kamati ya bunge la […]
-
VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WATAKA KUONGEZWA MUDA WA MAZUNGUMZO YA AMANI BARINGO
Oparesheni ya kiusalama ikitarajiwa kurejelewa leo katika kaunti ya baringo, seneta wa kaunti hii Samwel Poghisio ameitaka serikali kuwapa muda zaidi viongozi wa kaunti hii ya Pokot magharibi na Baringo […]
Top News