Author: Charles Adika
-
VIONGOZI WA DINI WAANZISHA MIKAKATI YA KUWAHAMASISHA WANANCHI KUHUSU COVID-19.
Viongozi wa dini nchini wameanzisha mikakati ya kuwahamasisha wananchi kuhusu umuhimu wa kuzingatia masharyti ya wizara ya afya katika kuzuia maambukizi ya virusi vya corona.Akizungumza katika warsha ya siku mbili […]
-
CHANJO DHIDI YA UGONJWA WA UKAMBI KUANZA LEO.
Siku moja tu baada ya wizara ya afya kwa ushirikiano na shirika la kimataifa la kuwashughulikia watoto UNICEF kuzindua rasmi chanjo dhidi ya surua yaani Measles, wizara ya afya kaunti […]
-
HISIA ZAENDELEA KUIBULIWA KUHUSU KUBUNIWA CHAMA KIPYA POKOT MAGHARIBI.
Siku chache tu baada ya baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wakiongozwa na mwakilishi wadi maalum Elijah Kasheusheu kupuuzilia mbali kubuniwa chama kipya katika kaunti hii ya […]
-
-
-
-
GAVANA WANGAMATI ASHUTUMIWA KWA MADAI YA KUFADHILI GHASIA MAZISHINI BUNGOMA.
Gavana a kaunti ya Bungoma Wyclife Wangamati ameshutumiwa kwa madai ya kutumia maafisa wa serikali yake kusababisha ghasia hasa katika hafla za mazishi.Kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti hiyo […]
-
BAADHI YA VIONGOZI POKOT MAGHARIBI WAPUUZILIA MBALI KUBUNIWA CHAMA KIPYA.
Baadhi ya viongozi katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendelea kupuuzilia mbali madai ya kubuniwa chama kipya katika kaunti hii kinachonuiwa kutumika katika uchaguzi mkuu ujao.Mwakilishi wadi maalum Elijah kasheusheu […]
-
WAFANYIBIASHARA WAELEZEA HOFU YA KUENEA VIRUSI VYA CORONA KONGELAI.
Wafanyibiashara katika soko la Kongelai kaunti hii ya Pokot magharibi wameelezea wasiwasi wa kuenea virusi vya corona eneo hilo kutokana na kutangamana wakazi wengi bila kuzingatia kanuni za kukabili maambukizi […]
-
WAKAZI KONGELAI POKOT MAGHARIBI WALALAMIKIA MAISHA MAGUMU.
Wakazi wa eneo la kambi chafu eneo la Kongelai katika eneo bunge la Kapenguria kaunti hii ya pokot magharibi wamelalamikia hali ngumu ya maisha wanayopitia huku wakilaumu viongozi kwa kutochukua […]
Top News