Author: Charles Adika
-
-
-
WAFANYIBIASHARA WATISHIA KUANDAMANA KUTETEA BIASHARA ZAO MAKUTANO.
Wafanyibiashara mjini Makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametishia kuandamana hadi afisi ya mkurugenzi wa elimu kaunti hii kulalamikia hatua ya uongozi wa baadhi ya shule katika kaunti hii […]
-
HATUA YA KUZUIWA NAIBU RAIS KUSAFIRI NCHINI UGANDA YAZIDI KUSHUTUMIWA.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa nchini kufuatia hatua ya kuzuiwa naibu rais William Ruto kusafiri nchini uganda kwa ziara ya kibinfasi.Baadhi ya wakazi wa makutano katika kaunti hii ya Pokot magharibi […]
-
RAIS ATAKIWA KUANGAZIA UTATA WA ARDHI ATAKAPOZURU TRANS NZOIA.
Serikali imetakiwa kuangazia kikamilifu swala la wakimbizi katika kaunti ya Trans nzoia.Mbunge wa Kiminini Dkt Chris Wamalwa amesema kuwa swala la wakimbizi ni nyeti na iwapo litaangaziwa kwa wakati unaofaa […]
-
USAJILI WAWANAOJIUNGA NA KIDATO CHA KWANZA WASHUHUDIA IDADI KUBWA.
Usajili wa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza ukiingia leo siku ya tatu, wakuu wa shule mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wamesema kuwa zoezi hilo linaendelea vyema […]
-
-
-
-
Top News








