Author: Charles Adika
-
-
-
-
WAKUU WA SHULE TRANS NZOIA WASHUTUMIWA KWA KUPANDISHA VIWANGO VYA KARO.
Viongozi kutoka Kaunti ya Trans-Nzoia wamelalamikia hatua ya walimu wakuu kwenye shule mbalimbali Kaunti hiyo kuitisha karo ya juu na mallipo mengine ya ziada kwa wazazi wanapowapeleka wanao kujiunga na […]
-
WAZAZI MAENEO YA MIPAKANI WATAKIWA KUWAPELEKA WANAO SHULENI.
Wazazi hasa maeneo ya mipakani katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuhakikisha kuwa wanao wanaripoti shuleni wakati huu ambapo shule zimefunguliwa kwa muhula wa kwanza.Kulingana na mwalimu mkuu wa […]
-
UHABA WA MIUNDO MSINGI WAHUJUMU USAJILI WA WANAFUNZI WA KIDATO CHA KWANZA.
Swala la uhaba wa miundo mbinu limejitokeza pakubwa katika shughuli ya usajili wa wanafunzi wanaojiunga na kidato cha kwanza katika baadhi ya shule za kaunti hii ya Pokot magharibi.Kulingana na […]
-
KENGEN YASHUTUMIWA KWA KUWAHANGAISHA WAKAZI TURKWEL.
Kampuni ya kuzalisha umeme ya KENGEN imeshutumiwa vikali kwa jinsi inavyoendesha shughuli zake eneo la Turkwel katika kaunti hii ya Pokot magharibi huku ikidaiwa kuwahangaisha wakazi wa eneo hilo.Wakizungumza katika […]
-
-
Top News









