Author: Charles Adika
-
‘MCHAKATO WA KUIFANYIA KATIBA MAREKEBISHO KUREJELEWA’ ASEMA SENETA WA BARINGO GIDEON MOI
Seneta wa kaunti ya Baringo Gideon Moi ameelezea imani kwamba majaji saba wa mahakama ya rufaa walioskiza kesi za kupinga kuharamishwa kwa mchakato wa BBI watabatilisha uamuzi uliotolewa na majaji […]
-
WIZI WA PIKIPIKI WAKITHIRI POKOT MAGHARIBI
Wahudumu boda boda katika kaunti hii ya pokot magharibi wameendelea kulalamikia ongezeko la wizi wa pikipiki. Kilio cha wanaboda boda hao kinajiri baada ya pikipiki moja kuibiwa eneo la Maili […]
-
-
WITO WA AMANI WATOLEWA BAINA YA KAUNTI ZA POKOT MAGHARIBI NA ELGEYO MARAKWET.
Wito umetolewa kwa viongozi wa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet kuandaa mazungumzo ya kumaliza visa vya uvamizi ambao umegharimu maisha ya wakazi wengi.Ni wito […]
-
MIMBA ZA MAPEMA ZASALIA CHANGAMOTO KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI.
Mimba za mapema miongoni mwa wanafunzi zimesalia changamoto katika shule za kaunti hii ya Pokot magharibi.Kulingana na mwalimu mkuu wa shule ya upili ya St Anthony of Pador Sina Simon […]
-
MBUNGE WA POKOT KUSINI AKASHIFIWA KWA KULEMAZA MIRADI YA MAENDELEO ENEO HILO.
Aliyekuwa kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti hii ya pokot magharibi kwenye serikali iliyotangulia Simon Kalekem amemshutumu mbunge wa pokot kusini David Pkosing kwa kile amedai utepetevu katika utendakazi […]
-
-
-
UTEUZI WA NAIBU CHIFU MPYA YUALATEKE WAPINGWA NA WAKAZI.
Wakazi wa yualateke eneo la kipkomo kaunti hii ya pokot magharibi wameandamana wakilalamikia kuteuliwa naibu chifu eneo hilo wakidai si mkazi wa eneo hilo.Wakiongozwa na Wilson Amanang’ole wakazi hao wamedai […]
-
WAZAZI WATAKIWA KUSHUGHULIKIA NIDHAMU YA WANAO.
Mwenyekiti wa bodi ya shule ya upili ya chewoyet katika kaunti hii ya pokot magharibi Ruth Kisabit ameshutumu maandamano yaliyoandaliwa na baadhi ya wakazi wa mjini makutano kukashifu uongozi wa […]
Top News