Author: Charles Adika
-
-
-
-
-
WITO WA KUUNGANISHWA RAIS NA NAIBU WAKE WAENDELEA KUUNGWA MKONO.
Baadhi ya viongozi wa kisiasa nchini wameendelea kuunga mkono pendekezo la baraza la maaskofu nchini kupewa fursa ya kuwaunganisha rais Uhuru Kenyatta na naibu wake William Ruto.Akizungumza katika kanisa la […]
-
TAHADHARI YATOLEWA KWA WAKAZI POKOT MAGHARIBI KUHUSU KUUZIWA PLOTI.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametahadharishwa dhidi ya kuhadaiwa na watu wanaodai kuwa maafisa kutoka wizara ya ardhi ili kukatiwa ploti katika miji na vituo vya kibiashara ambako […]
-
ONYO YATOLEWA KWA WANAOMILIKI SILAHA HARAMU CHESOGON.
Wakazi wa eneo la Chesogon mpakani pa kaunti hii ya Pokot magharibi na kaunti jirani ya Elgeyo marakwet wanaomiliki silaha kinyume cha sheria wametakiwa kuzisalimisha mara moja.Ni wito wake naibu […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUWA MAKINI KATIKA UCHAGUZI MKUU UJAO.
Wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuwa makini katika uchaguzi mkuu wa mwaka ujao na kuwachagua viongozi ambao watawahudumia vyema pamoja na kutumia pesa za umma kwa uwazi.Ni […]
-
Top News







