Author: Charles Adika
-
GAVANA WA TRANS NZOIA PATRICK KHAEMBA ATAKIWA KUKAMILISHI MIRADI YA MAENDELEO.
Mwakilishi wadi mteule katika bunge la kaunti ya Trans nzoia bi Magret Sabina Wanjala amemtaka gavana wa kaunti hiyo Patrick Simiyu Khaemba kumaliza miradi yote ya maendeleo aliyoianzisha jinsi alivyoagiza […]
-
VIONGOZI WAENDELEA KUKOSOA KUPANDISHWA BEI YA MAFUTA.
Viongozi mbali mbali nchini wameendelea kutoa hisia mseto kufuatia hatua ya mamlaka ya kudhibiti kawi EPRA kuongeza bei ya mafuta nchini.Wa hivi punde kuzungumzia swala hilo ni mwakilishi wadi maalum […]
-
MOROTO AKOSOA OPARESHENI DHIDI YA MICHEZO YA KAMARI.
Mbunge wa kapenguria kaunti ya Pokot magharibi Samwel Moroto amekosoa oparesheni inayoendeshwa na idara ya usalama katika kaunti hii dhidi ya michezo ya kamari.Akizungumza na kituo hiki Moroto amesema kuwa […]
-
WAKAZI WA POKOT MAGHARIBI WATAKIWA KUKUMBATIA MBINU ZA UPANGAJI UZAZI.
Wito umetolewa kwa wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi kukumbatia mbinu za upangaji uzazi na kujitenga na dhana zinazoambatana swala la upangaji uzazi katika jamii.Wataalam wa upangaji uzazi wakiongozwa […]
-
-
-
-
Top News







