Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA POKOT MAGHARIBI YASHUTUMIWA KWA UKARABATI WA BAJETI.
Huenda serikali ya kaunti hii ya Pokot magharibi ikakosa kupokea tena mgao unaotolewa kwa serikali za kaunti baada ya kubainika kuwa uongozi wa kaunti umekuwa ukikarabati bajeti yake.Haya ni kwa […]
-
UKOSEFU WA AJIRA WATAJWA KUWA CHANZO CHA UTOVU WA USALAMA BONDE LA KERIO.
Ukosefu wa ajira miongoni mwa vijana wengi nchini umechangia wengi wao kujiingiza katika visa vya uhalifu ili kuweza kujikimu kimaisha na pia kumudu mahitaji ya familia zao.Haya ni kulingana na […]
-
WASOMI BARINGO WATAKA KUTAFUTWA SULUHU KUHUSU UTOVU WA USALAMA KAUNTI HIYO.
Wasomi katika wadi ya marigat kaunti ya Baringo wanaitaka serikali kuu kwa ushirikiano na viongozi kutafuta suluhu ya kudumu kwa tatizo la utovu wa usalama kwenye baadhi ya maeneo ya […]
Top News








