Author: Charles Adika
-
WANAOENDESHA KAMPENI ZA USIKU WAONYWA BARINGO.
Idara ya usalama kwenye kaunti ndogo ya Eldama ravine kaunti ya baringo imewaonya viongozi wanaowania nyadhifa za kisiasa kwenye uchaguzi mkuu wa agosti 9 dhidi ya kuandaa mikutano nyakati za […]
-
WANASIASA TRANS NZOIA WAHIMIZWA KUHUBIRI AMANI KATIKA KAMPENI ZAO.
Wazee kutoka jamii ya luhya katika kaunti ya Trans nzoia wameomba amani kabla wakati na hata baada ya uchaguzi mkuu ujao akiwataka viongozi ambao wanawania viti mbalimbali kuhubiri amani wakati […]
-
UPANGAJI UZAZI WAKUMBATIWA NA ASILIMIA KUBWA POKOT MAGHARIBI.
Takwimu za hivi punde zinaashiria kwamba asilimia kubwa ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi sasa wamekumbatia mbinu za kupanga uzazi.Akizungumza na wanahabari baada ya kikao cha kutoa matokeo […]
-
-
WITO UNAZIDI KUTOLEWA KWA SERKALI KUINGILIA KATI NA KUHAKIKISHA KWAMBA USALAMA UNADUMISHWA ENEO LA CHESOGON
Wakaazi eneo la lomut katika kaunti ya pokot magharibi wamekuwa wa hivi punde kujitokeza kushtumu visa vya utovu wa usalama mipakani pa kaunti hii ya pokot magharibi na elgeyo marakwet […]
-
VIONGOZI WATAKIWA KUHAKIKISHA KWAMBA USALAMA UNAIMARISHWA WAKATI HUU WA KAMPEINI NA BAADA YA KAMPEINI
Idara ya polisi katika kaunti hii ya Pokot magharibi imetoa wito kwa wanasiasa kuhakikisha kuwa amani inadumishwa kipindi hiki cha kampeni za uchaguzi mkuu wa mwezi agosti ili kila mmoja […]
-
Top News









