Author: Charles Adika
-
MWAKILISHI WA AKINA MAMA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI AWATAKA WANASIASA KUFANYA SIASA KOMAVU
Wanasiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi wametakiwa kuenedelza siasa komavu na kujitenga na kutumia majukwaa ya kisiasa kuelekeza cheche za maneno kwa wapinzani wao.Ni wito wake mwakilishi kina mama […]
-
ALIYEKUWA MEYA WA KAUNTI YA POKOT MAGHARIBI ASHTUMU UONGOZI WA GAVANA JOHN LONYANGAPUO
Viongozi wa matabaka mbali mbali katika kaunti hii ya Pokot magharibi wameendeleza shutuma dhidi ya serikali ya gavana wa sasa John Lonyangapuo kufuatia utendakazi wake katika kipindi cha miaka mitano […]
-
-
VIONGOZI KAUNTI YA UASINGISHU WAHAKIKISHIA WAKAAZI WA ENEO HILO USALAMA WAKATI WA UCHAGUZI.
Gavana Jackson Mandago ametoa hakikisjo kwa wenyeji kwamba amani itaendelea kudumu kabla wakati na hata baada ya uchaguzi wa agosti tisa na hivyo akawataka kutoishi na wasiwasiAkizungumza katika eneo la […]
-
WAKAAZI WA POKOT WAHIMIZWA KUDUMISHWA AMANI WAKATI HUU NA BAADA YA UCHAGUZI.
Wito umetolewa kwa wagombea wakisiasa katika kaunti hii ya Pokot magharibi na wakazi kwa jumla kuhakikisha kuwa wanadumisha umoja na utangamano kipindi hiki taifa linapoelekea kwenye uchaguzi mkuu wa mwezi […]
-
Top News








