Author: Charles Adika
-
WAZIRI MAGOHA AZUA MDAHALO BAADA YA KUZUBAA KWENYE STEJI.
Waziri wa Elimu Pro. George Magoha alizua mjadala mtandaoni baada ya kuonekana amezubaa kwenye jukwaa wakati wa hafla ya mashindano ya muziki.Magoha ni mmoja wageni ambao walioalikwa kuhudhuria tamasha la […]
-
SERIKALI YATAKIWA KUANZISHA OPARESHENI YA KUKABILI WIZI WA MIFUGO BONDE LA KERIO.
Baadhi ya viongozi katika kaunti ya Baringo wanaitaka serikali ya kitaifa kutangaza oparesheni ya kuwakabili majangili wanaoendeleza visa vya wizi wa mifugo na mauaji katika eneo la bonde la kerio.Wakiongozwa […]
-
WATU 11 WAKIWEMO POLISI WANANE WAUAWA TURKANA.
Hali ya Taharuki ingali imetanda katika eneo la Kamuge Turkana Mashariki, baada ya wezi wa mifugo kushambulia gari la polisi lililokuwa limebeba maafisa 8 wa usalama, Chifu wa Napeitom na […]
-
WAKULIMA WAFURAHIA MBOLEA YA BEI NAFUU TRANS NZOIA.
Wakulima Kutoka Kaunti ya Trans Nzoia wameelezea furaha yao kuhusu serikali kuu kutoa kwa mbolea ya bei nafuu ya shilingi 3500 kwa kila gunia ya kilo 50 ya mbolea.Wakihutubu mjini […]
Top News








