Author: Charles Adika
-
SERIKALI YA TRANS NZOIA YAENDELEZA MIKAKATI YA KUIMARISHA SEKTA YA UTALII.
Naibu Gavana Kaunti ya Trans Nzoia Philomena Kapkory amesema serikali ya Kaunti ya Trans Nzoia imeweka mikakati kupiga jeki sekta ya utali. Akihutubu kwenye maadhimisho ya siku ya utalii nchini […]
-
BARAZA LA MAWAZIRI LA RAIS WILLIAM RUTO LAENDELEA KUIBUA HISIA NCHINI.
Hisia mseto zimeanza kuibuliwa miongoni mwa wananchi kufuatia hatua ya rais William Ruto kuteua baraza lake la mawaziri. Baadhi ya wakazi wa kaunti hii ya Pokot magharibi wamepongeza baraza hilo […]
-
MAUAJI YA WATU 11 WAKIWEMO POLISI 8 TURKANA YAENDELEA KUKASHIFIWA.
Viongozi mbali mbali kutoka eneo la bonde la kerio wameendelea kukashifu mauaji ya watu 11 wakiwemo maafisa 8 wa usalama katika kaunti ya Turkana yaliyotekelezwa jumamosi na watu wanaoshukiwa kuwa […]
-
MWANAMME MMOJA AZUILIWA KATIKA KITUO CHA POLISI CHA KAPENGURIA KWA KUMUUA MKEWE.
Mwanamme mmoja mwenye umri wa miaka 41 kutoka eneo Bunge la sigor kaunti hii ya Pokot magharibi anazuiliwa katika kituo cha polisi cha kapenguria akisubiriwa kufikishwa mahakamani baada ya kudaiwa […]
Top News









