Author: Charles Adika
-
VIONGOZI BARINGO WAENDELEA KUMWOMBOLEZA NAIBU GAVANA.
Viongozi mbalimbali kwenye kaunti ya Baringo wameendelea kumwomboleza naibu gavana kaunti hiyo Charles Kipng’ok aliyefariki dunia jumatano jioni kwenye uwanja wa ndege wa jomo kenyatta jijini Nairobi. Wakiongozwa na aliyekuwa […]
-
ONGEZEKO LA BEI YA MAFUTA LAZIDISHA VILIO NCHINI.
Hisia kali zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wananchi kufuatia hatua ya tume ya kudhibiti kawi EPRA kutangaza ongezeko la bei ya mafuta nchini.Wakiongozwa na meshack Yego wahudumu wa boda boda mjini […]
-
NAIBU GAVANA WA BARINGO AAGA DUNIA
Naibu gavana wa kaunti ya Baringo Charles Kipngok amefariki dunia katika uwanja wa kimataifa wa ndege JKIA usiku wa kuamkia leo akiwa safarini kuelekea Mombasa kwa kutumia ndege ya shirika […]
-
CBC YAENDELEA KUWAKANGANYA WADAU WA ELIMU.
Hisia mseto zimeendelea kuibuliwa miongoni mwa wadau katika sekta ya elimu kuhusu utekelezwaji wa mtaala mpya wa elimu CBC wakati rais William Ruto akiahidi kubuni kamati ya kutafuta maoni kuhusu […]
Top News








